[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Mlio wa injini wewe unakuumiza roho, dah!Mi ninakumbuka nyakati za LEYLAND CD,NA JINSI ZILIVYOKUWA ZIKINUNGUNIKA WAKATI ZINAENDESHWA,MPAKA ROHO INAUMA,KULIKUWA NA MABASI YA LANG'ATA.
Ikifika 110 KPHAcha tu, tulikuwa tunazikimbiza Moro hapo saa 2 tu. Kitu inapiga alarm mpaka inabadili mlio
Ndo maana yake. Yaani kanalia kale kakinyamaza mnakatiza Chalinze kanaanza tena hapo mpaka mlima wa kupandia mwidu kutoka njia panda Ngerengere. 4BC2 pale inapanda na namba 4.Ikifika 110 KPH
Wade Adams ilikuwa kampuni ya ujenzi, nakumbuka pia walijenga kiwanda cha TBL MwanzaNdio ni 1991 uso kwa uso na Scania ya Wade Adams. Siku kabla ya ajali tumezungusha trip za kutosha mimi nikiwa napiga ya tatu kurudi moro usiku nikagonga maeneo ya Pingo, kesho yake niko Chalinze natengeneza gari ndio habari za ajali ya Sakran.
Kigamboni maona alijingiza kwenye biashara za kuuza vifaa vya ujenzi naona...Ni yule scaba scuba wa kigamboni?
Ilikuwaje akaachana na biashara za usafirishaji(abiria)?
Mzee wa tiot sijui kafia wapi alikua na meli kabisa pale tanga portBalhabou wamepoteaaaaa kabisa!
Everyday is Saturday............................... [emoji41]
Nimeikuta hii sijui imefia wapiMi naikumbuka Kunta Kinte! Hatari sana miaka ya 1996/8
Na nyingine inaitwa toto kankoMi naikumbuka Kunta Kinte! Hatari sana miaka ya 1996/8
Yes, naona ana mahardware ya kutosha, maeneo na majumba.Kigamboni maona alijingiza kwenye biashara za kuuza vifaa vya ujenzi naona...
Nahisi jamaa ni mpemba yule
Ova
Hapo bila ya kusahau miziki minene waliokuwa wanafunga kwenye gari zao,na misele kibao...Scaba scuba, ilikuwa ni Mitsubishi Rosa nyekundu six cylinder. Enzi zile gari nyingi zikikuwa zikifanya safari 3 x 2. Kulikuwa na Camp Safari, Jongwe, El Sakran, Sansui, Accountant, Red Rooster, Cheetah, Uvikiuku, Selungwi, Wagala, Balhabou niishie tu hapo.