Je unakumbuka siku uliofanya mapenzi mpaka ukakubali show

Je unakumbuka siku uliofanya mapenzi mpaka ukakubali show

πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aiseee, Mimi jf itakuja nifikisha pabaya. Hahahahaaaa, dawa za typhoid tena? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ili jukwaa sio la kuwa nalo serious. Kuna comedy sana. Umejua kunichekesha
mnyanduo huku mnabadilishana body liquids zenye chembe chembe za dawa ya typhod
 
Hizi uzi zingine zinaonesha namna watu walivyo hata kama wako nyuma ya kiibodi

Uzi za kijinga hadi mtu unajiuliza maswali bila majibu
Wengine humu ndio kijiweni kuongea hili na lile alimradi kufurahia,,,,maisha ni haya haya tu πŸ™‚
 
Wengine humu ndio kijiweni kuongea hili na lile alimradi kufurahia,,,,maisha ni haya haya tu πŸ™‚
Achia hilo,binadamu tunatofautiana kwa mambo mengi mno,ndio maana hata majina tunayo mengi,mfano ngulumbili,mradi tupafanye duniani mahala pa furaha,hata hivyo,nani hanyandui au kunyanduliwa?
 
Je unakumbuka siku ambayo ulifanya mapenzi na demu au mkeo,mpaka akakubali kuwa yes umepiga show ya kibabe

Unakumbuka ulivyofanya? na wewe mwamke unakumbuka siku uliofanya mapenzi ama na mmeo au mchepuko mpaka ukasema yes leo nimeliwa,tuhadithie
Nitakupeni mrejesho wa mtu mzima mwenzangu 60+ hatua kwa hatua....upate somona burdani,,,,,
 
Back
Top Bottom