daydreamerTZ
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 146
- 233
Boss Asante sana kwa mchango wako. Umekosoa kwa kujenga. [emoji120]Uzoefu, sio udhoefu
Muhuri, sio muhuli
Ni mkombozii kwako, sio mkombozi Kwako
Kuanzia usajili hadi namna, sio kuanzia usajili Hadi namna...
--------------------------------------
Kama bado umri huo unaandika "udhoefu," na unachanganya herufi kubwa na ndogo basi ulikuwa mtoto uliyetelekezwa na kupuuzwa, neglected child.
Break the cycle, usipuuze wa kwako.
Weka na bei kabisa, mambo ya Kuja mafichoni huko ndio chanzo cha kupigwa na vitu vizito kichwani.Kama ni ndiyo basi GAPO GROUP LIMITED ni mkombozii Kwako. Ni kampuni ya ndani ya nchi ambayo imesajiliwa kisheria na yenye uzoefu wa masuala yote ya biashara kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako...
Hongera mkuu una gharama nzuri, ambazo mimi ama wengine hucharge hadi mara 6 ya hiyo yako. Keep on pushing mkuu, hongera sana.1. Kusajili kampuni- Tsh 80,000/=
2. Kusajili jina la biashara- Tsh 10,000/=
3. Kuandaa memorandum and article of association- Tsh 50,000/=
4. Kupigiwa document muhuri wa mwanasheria- Tsh 30000/=
5. Makadirio ya Kodi- Tsh 30,000/=
6. Kuandaa business plan- Tsh 150,000/=
7. Kusimamia email marketing- Tsh 500,000/=
Nitajuaje kuwa mnaweza kukuza biashara yangu?
Hiyo ni kazi ambayo tunakufanyia, tutachunguza kujua kama limetumika au la.Nitajuaje kama jina limeshawahiwa?
Brela unawasilisha majina kadhaa na wao watakujulisha kama yamachukuliwa au la.Nitajuaje kama jina limeshawahiwa?
Hiyo ni njia ndefu sana. Mkuu na itakupotezea almost siku 3 za bureBrela unawasilisha majina kadhaa na wao watakujulisha kama yamachukuliwa au la.
Karibu mkuuNitawasiliana na wewe, ninahitaji huduma yenu 🙏