Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

Kama ni ndiyo basi DAY DREAMER TZ CONSULTANCY ni mkombozii Kwako. Sisi ni wazoefu wa masuala yote yakusajili biashara(kampuni au jina la biashara? kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako.
Huduma zitolewazo

1. Kusajili kampuni
2. Kusajili jina la biashara
3. Kuandaa memorandum and article of association
4. upatinaji wa leseni
5. Makadirio ya Kodi
6. Kuandaa business plan

Kwa mawasiliano zaidi
Piga 0629706263
wa.me/0629706263

Kuuliza ni bure kabisa
0692633255 piga simu kwa msaada zaidi
 
Katika kusajili jina la biashara nimekwama kupata control number.

Tayari nimesha-upload ile fomu ya kuweka sahihi na tarehe.

Lakini pia, kila niki-log in inanitaka nianze kuingiza taarifa zangu upya, yaani hainipeleki pale nilipoishia

Msaada daydreamerTZ na wadau wengine
 
Mkuu naomba nitumie whatsapp screenshot za tatizo lako 0629706263 pole sana
 
Mkuu naomba nitumie whatsapp screenshot za tatizo lako 0629706263 pole sana
Shukran kwa kujali mkuu.

Changamoto nimeitatua tayari, ni ugeni tu wa kuingia kwenye hii website ndio ulinichanganya lakini kila kitu kimeenda sawa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom