Katika kusajili jina la biashara nimekwama kupata control number.
Tayari nimesha-upload ile fomu ya kuweka sahihi na tarehe.
Lakini pia, kila niki-log in inanitaka nianze kuingiza taarifa zangu upya, yaani hainipeleki pale nilipoishia
Msaada
daydreamerTZ na wadau wengine