Je, unamfahamu Kajala Masanja?

Status
Not open for further replies.
Kuna vibinti vingi sana vimepitia life kama la Kajala,yaani unakuta form 2 tu lakin mambo kanayoyafanya hatar

Sijui aliwezaje kujiachia hvyo kipind hcho na wahuni wakashindwa kumtia mimba mpaka akaenda kutiwa na Majani

Wanasemaga goes around comes around,maisha ya Mtoto wao yanareflect maisha yao ya zamani

Unajua kuna vitoto vinavyoanza maujanja mapema unakuta kana elimu kubwa sana kwenye kunyanduana,ukute hili toto linawamaliza akili kwenye upande huo
 
Hata mimi hapo pamenipa ukakasi sana, pamoja na andiko la page 8 lakini sijaona mahali wamegusia anafanya nini maishani mwake...
Mbona The Bold kaelezea vizuri tu kuwa kazi yake kuu tangu akiwa fomu tuu mpaka sasa ni wanaume? Ana kitu cha kipekee anawapa wanaume mpaka akiwaacha wanamlilia na wanakwenda kuambiana huko...and the cycle continues....Sema tu ana kipaji cha kuvutia wanaume wenye pesa na umaarufu.

Maisha haya kila mmoja anaamua kuyaishi atakavyo. Tusimlaumu wala kumhukumu ila tu sidhani kama anapaswa kutumiwa kama mfano wa kuigwa na kizazi kipya. Hapo ndipo sijamwelewa The Bold
 
Ngoja shekhe konde boy aje akupe muongozo
 
Ndiyo hapo hata mm nmeshanga eti role model [emoji1]

Ova
 
Pole sana KAJALA, Lakini mbona una rangi nyingi kuna picha ni mweusiiii na nyingine ni mweupe. Au basiii Hongera sana Mmakonde
 
Kweli kipochi nyoya kinapitia bomba nyingi
 
Mtoto mwenyewe wa polisi alitegemea nn? Vitu vingine ni kujiongeza mapema
 
Mtu na nyota yake
 
Hata mimi hapo pamenipa ukakasi sana, pamoja na andiko la page 8 lakini sijaona mahali wamegusia anafanya nini maishani mwake...
Kusoma hujui na picha zinakushinda kuona? Hawa ni wauza mbunye kama walivyo ''wahaya'' wa Mwananyamala, machangu wa Uwanja wa fisi n.k ila uuzaji wao ni wa ki-professional zaidi. Wanajua kulengesha. Mfano mbaya kabisa kwa jamii na kama una mwanao wa kike anza kumwelimisha tangu akiwa mdogo kuwa hawa siyo wa kuiga.
 
Ila faraji alimpenda kajala asee
 
Ila hawa watoto wa mapolisi ni micharuko sana!


Mshua wangu huwa ananipa storee za Saba sita babaake Tunda cappuccino nasikia alikuwa mzushi kweli huko Arusha...sasa mbona toto lake liko hivo daah
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…