Je, unamfahamu Kajala Masanja?

Je, unamfahamu Kajala Masanja?

Status
Not open for further replies.
Duh kipindi hyo mbowe alikuwa anaruhusuje mabint wadogo waje disco[emoji23]
Kulikuwa kuna disco la mchana.
Wenyewe tulikuwa tunaita boogie..
Mule walijaa watoto wa kariakoo, ilala, upanga posta.
Ila kwa uhuni wa kajala nadhani yeye alikuwa anaingia disco la wakubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom