Je, unamfahamu Kajala Masanja?

Je, unamfahamu Kajala Masanja?

Status
Not open for further replies.
Mdangaji tu

Ova
Mkuu watu hata picha hawajui kusoma? Hivi watu kama hawa utaulizaje wanafanya nini mjini? Hata yule aliyepewa u-DC naye ni walewale tu. Ila udangaji wao wanajua kulengesha na hawatoki na wachovu. I wish watu wangejua jinsi wanasiasa wenye vyeo au matajiri (tena wenye heshima kweli kweli) wanavyogonga kimya kimya wangeshangaa. Hawa ni fedha yako juu.
 
"Misukosuko, changamoto, makosa aliyoyafanya na hatimaye leo hii kuweza kuibuka kuwa moja ya wanawake maarufu anayehusudiwa na wanawake wengi wakubwa kwa wadogo, ni stori halisi ya maisha yenye kusisimua".

kwa hiyo na hao wanaomhusudi unawashauri wapitie misukosuko,changamoto na makosa aliyoyafanya ili wawe kama yeye jinsi nilivyokuelewa
Na pia kwa mtazamo wangu stori yake wala haisisimui, ungetakiwa kuandika stori haisi ya maisa yenye kusikitisha

By the way wazazi wake wapo bado macop au?
 
Hapana wazazi wake wastaafu ukoplo
 
Ila faraji alimpenda kajala asee
Yah na huyo hyo alimbomoa
Jamaa alifanya party kwake mbezi beach ,kmbe alipiga mshindo
Aise tulikula pombe balaaaa
Mpk wengine taxi tulilipiwa wajanja tukajiongeza na hela ya supu juu
Pombe tulibeba,kajala anganga macho tu anapenda maisha hayo party kila siku [emoji1]
Faraji yuko tu sahv tbt katulia kimyaaa mpira anaanzisha moja
Kajala ndy huyo yuko na konde [emoji1]

Ova
 
"Misukosuko, changamoto, makosa aliyoyafanya na hatimaye leo hii kuweza kuibuka kuwa moja ya wanawake maarufu anayehusudiwa na wanawake wengi wakubwa kwa wadogo, ni stori halisi ya maisha yenye kusisimua".

kwa hiyo na hao wanaomhusudi unawashauri wapitie misukosuko,changamoto na makosa aliyoyafanya ili wawe kama yeye jinsi nilivyokuelewa
Na pia kwa mtazamo wangu stori yake wala haisisimui, ungetakiwa kuandika stori haisi ya maisa yenye kusikitisha

By the way wazazi wake wapo bado macop au?
Wazazi wake wako mbezi makoka
Huko baba yake alistasfu akiwa na nyota moja
Baba yake age imeenda sema Ana mwili mzuri....wiki km 3 zilixopita nlimkuta opposite na obay police kwenye kijiwe cha taxi analialia sjui anajisikia vibaya nkamwambia amwambie binti yk amfqnyie muamala taxi impeleke home [emoji1]
Si unajuwa polis wanapenda kpiga virungu watu,ah kwli akamrukia bnt hk hewani akachonga na dereva tax akampeleka baba yk
Wazaz wake wote walikuwa maaskari
Sema washastaafu

Ova
 
Mkuu watu hata picha hawajui kusoma? Hivi watu kama hawa utaulizaje wanafanya nini mjini? Hata yule aliyepewa u-DC naye ni walewale tu. Ila udangaji wao wanajua kulengesha na hawatoki na wachovu. I wish watu wangejua jinsi wanasiasa wenye vyeo au matajiri (tena wenye heshima kweli kweli) wanavyogonga kimya kimya wangeshangaa. Hawa ni fedha yako juu.
Kweli kabisa

Nchi hii vyeo kupeana tu

Ova
 
Huyu Binti alikua mzuri, nikipanda nae basi ( Ruvuma Tours Line) nikiwa form ten, tulianza kutizamana Kwa kuibia ibia hadi tulipofika Kitonga hotel ya Comfort kula, nikamwangalia vizuri nikasema naam, uzuri enzi hizo nilijulikana kama Jesus Boy file lilikya safii.

Tukafika Mnazi mmoja Kila mmoja akachukua njia yake na simu hazikwepo, hatukusemeshana chochote, kesho yake nikapita Oyster bay police nasikia mtu anaitwa wewee kugeuka namuona Kajala, kusema kweli alikua mzuri. Tokea hapo ikawa nilipita Kwa Baba mdogo tunapiga story mbili tatu ila ndio nilikua full gospel hapakua na mawazo ya mzabzab nimekuja kuonana Mara ya mwisho ameachana na PF, niliona amepiteza ule uzuri na kuwa wakawaida sana.

Naona watu wanabeza jitihada zake lakini Kwa mapito aliyopita na ameweza kutopotelea kwenye madawa na kuwa mtu wa hovyo, anastahili pongezi.
 
Hiki kitendo cha Kajala kuhamishiwa shule ya Jitegemee lilikuwa ni kosa kubwa sana ambalo wazazi wake walikuwa wamelifanya. Sababu ndani ya muda mfupi tu baada ya Kajala kuanza masomo hapo Sekondari ya Jitegemee mwenendo wake kitabia ulibadilika vibaya mno.

Point of correction.

Kajala kaanza tabia mbaya tangu akiwa primary pale Mbuyuni...

Umbo lake lenye msambwanda lilitosha kuwavutia wakware na yeye hakuwa na hiyana...

Kawasumbua sana waalimu wa Mbuyuni huyu binti, mmojawapo ni mama Salma...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom