macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mkuu watu hata picha hawajui kusoma? Hivi watu kama hawa utaulizaje wanafanya nini mjini? Hata yule aliyepewa u-DC naye ni walewale tu. Ila udangaji wao wanajua kulengesha na hawatoki na wachovu. I wish watu wangejua jinsi wanasiasa wenye vyeo au matajiri (tena wenye heshima kweli kweli) wanavyogonga kimya kimya wangeshangaa. Hawa ni fedha yako juu.Mdangaji tu
Ova