Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Oct 14, 2022 #81 Sierra One said: Hata mimi hapo pamenipa ukakasi sana, pamoja na andiko la page 8 lakini sijaona mahali wamegusia anafanya nini maishani mwake... Click to expand... Anauza mwili tu.
Sierra One said: Hata mimi hapo pamenipa ukakasi sana, pamoja na andiko la page 8 lakini sijaona mahali wamegusia anafanya nini maishani mwake... Click to expand... Anauza mwili tu.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Oct 14, 2022 #82 Mamndenyi said: Ana bahati kupendwa Click to expand... Kawaida Mtoto wa kike akiwa mrembo pasipo akili sehemu za Siri ndo huwa zinaumia.
Mamndenyi said: Ana bahati kupendwa Click to expand... Kawaida Mtoto wa kike akiwa mrembo pasipo akili sehemu za Siri ndo huwa zinaumia.
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Oct 14, 2022 #83 Kajala's body is 🔥 🔥
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,132 Reaction score 31,149 Oct 14, 2022 #84 goroko77 said: Duh kipindi hyo mbowe alikuwa anaruhusuje mabint wadogo waje disco[emoji23] Click to expand... Kulikuwa kuna disco la mchana. Wenyewe tulikuwa tunaita boogie.. Mule walijaa watoto wa kariakoo, ilala, upanga posta. Ila kwa uhuni wa kajala nadhani yeye alikuwa anaingia disco la wakubwa.
goroko77 said: Duh kipindi hyo mbowe alikuwa anaruhusuje mabint wadogo waje disco[emoji23] Click to expand... Kulikuwa kuna disco la mchana. Wenyewe tulikuwa tunaita boogie.. Mule walijaa watoto wa kariakoo, ilala, upanga posta. Ila kwa uhuni wa kajala nadhani yeye alikuwa anaingia disco la wakubwa.