Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Na mnyama mwaminifu ni digidigi tu akifiwa na mwenza tu ndo safari yake ya mahusiano imeishia hpo
 
Aisee tupeni mbinu za Kukabiliana nae Ukiwa porini au shambani maba unaweza kutana nae Kwa bahati mbaya na panga halisaidii kitu.
 
Nimeenda Google, nimesoma sentensi hii, du! nimemuogopa huyu mnyama mdogo. The only sure way of killing them quickly is through a blow to the skull with a club or a shot to the head with a gun, as their skin is almost impervious to arrows and spears.
Aisee nimelazimika kutafuta maelezo jf baada ya Jamaa kutusimulia.kikiweni kwamba alibamiwa na huyu mnyama akiwa porini shamba kwake walikuwa wawili wakaja wakawa wanataka kumshambulia nyama za miguuni.

Jamaa akakaa chini Kwa kupiga magoti tukawa tunamtinga Kwa kumzubaiaha ,anadai alifyeka na panga miguu wapi,alikata na panga kwenye mwili hakuna kitu.

Anasema pona pona yake Kuna mtu alikuwa anapita eneo la jirani alipokuwa anapama kumbe alikuwa na mbwa ,hao wanyama walivyoona na kunusa harafu ya mbwa wakamuacha na kufukuzia mbwa ndio ikawa pona pona yake.

Mbwa walikimbia kama Watoto wadogo huku wanalalamika na haikukujulikana kama mbwa waliuwawa huko au vipi ila ndio ikawa pona pona yake.

Sasa sijui kama wangemuua au ingekuaje?
 
Hahahahaa naangaliaga sana video za huyu jamaa, ni mtata balaa na unaambiwa ana kumbu kumbu kwa hali ya juu sana! Huna cha kumdanganya! Anaitwa Honey Barger kwa Kidhungu ni habari nyingine kabisa huyo.
Njia gani unaweza tumia kumuua au kupambana nae? May be uwe na kitu kinachoweza kuwasha moto Kwa haraka
 
Hujaeleweka
 
Maelezo Yako yamenifanya nigundue kitu na nikubaliane na Jamaa aliyetusimulia jinsi vilimvamia nhakujaua ni mnyama gani navyo vilikuwa vinafuata Kujaribu kumh'ata miguuni.

Inaelekea Hawa nyegere Huwa hawana uwezo wa kupambana Kwa kumrukia mtu,ujanja wao ni kukanyaga Ardhi maana wangekuwa wanaruka kama paka ingekuwa ngumu kumkabili.

Mpaka hapa nimejua Ukiwa na rungu au Fimbo kama mti ni kumtwanga Hadi atachoka na kusarenda,mara zote nilikuwa nataka kujua mbinu za kupambana nae.
 
Kwa staili yake hii ya kushambulia au kulenga sehemu Moja unaweza pambana nae kama una kimti kikubwa au rungu na hiyo tabia ya ubishi ,kujiamini na kiburi nako katafika mahala kanachoka Kwa kipigo Cha mti.

Panga sijui sime hapa Haina Msaada na kubonda tuu.
 
dawa yake moto,hataweza kujidefence kwakukakamaa
Hii ni kiboko ya kitu chochote ila Sasa kifaa gani potable kinakuwa na moto mda wote kuweza kuutumia kirahisi au kutembea nao unapokuwa porini kikazi au shambani?
 
🤣🤣 Hii Sasa balaa kwamba anafungua kitasa
 
Piga kichwa au mdomo sema Sasa ndio sio rahisi anakwepa ila huko kwingine utapig Hadi ukeshe yupo tuu 😆😆
 
Duu haka kadudu hakafai kabisa yaani bila kukaua hakamalizi timbwili full mapepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…