Je unamiliki tipper kuanzia SqM.15 na kuendelea fursa ni ya kwako sasa

Je unamiliki tipper kuanzia SqM.15 na kuendelea fursa ni ya kwako sasa

Joined
Oct 17, 2016
Posts
13
Reaction score
9
⛑️TANGAZO MAALUM KUTOKA UMATIDO⛑️

(Umoja wa Madereva Tipa Dodoma)

🚛 Unamiliki Lori la TIPA?

Unataka lori lako lipate kazi za uhakika, lisimamie kwa uadilifu, na kukuingizia kipato bila usumbufu?

⚠️ USIKOSE FURSA HII!

Chama cha UMATIDO kinakaribisha wamiliki wote wa magari ya TIPA kujiunga nasi kwa ajili ya:

✅ Kupata kazi kubwa na ndogo (tenda za mchanga, kifusi, kokoto n.k.)

✅ Usimamizi wa uhakika na ufuatiliaji wa kazi zako

✅ Hifadhi ya taarifa na kazi zote zinazofanywa na gari lako

✅ Kulipwa kwa wakati kwa kazi zako

✅ Kuwa sehemu ya mtandao mkubwa wa biashara ya vifaa vya ujenzi

🔧 Faida Unazopata:

🟢 Chama chenye usajili rasmi (Manispaa & TRA)
🟢 Mfumo wa kazi wenye uwazi (hakuna ubabaishaji)
🟢 Malipo ya haki kwa mmiliki na dereva
🟢 Kazi kupitia miradi ya binafsi na ya serikali

📍 OFISI YETU IPO WAZI!

➡️ Msalato A– Dodoma
➡️ Karibu na barabara ya kuelekea Airport

📞 WASILIANA NASI LEO:

📲 0673 654 598
📲 0620 654 597
✉️ Jiunge sasa na tujenge mafanikio kwa pamoja!

UMATIDO – Haki, Uwazi, Kazi Zaidi!
 

Attachments

  • FB_IMG_1749151077888.jpg
    FB_IMG_1749151077888.jpg
    46.5 KB · Views: 28
  • IMG-20250423-WA0005.jpg
    IMG-20250423-WA0005.jpg
    45.8 KB · Views: 28
  • CamScanner 04-04-2025 13.55.jpg
    CamScanner 04-04-2025 13.55.jpg
    461.3 KB · Views: 30
  • downloadfile-4.jpg
    downloadfile-4.jpg
    79.1 KB · Views: 33
Mbona hii fursa haiko na appeal of business kwa wenye trucks? Liko too sweet to hear lakini halitoi gharama za malipo kwa kilometa, contracts ya kazi, ujuzi wa utaalamu nj anyway ngoja nitawasiliana nanyi
 
Mbona hii fursa haiko na appeal of business kwa wenye trucks? Liko too sweet to hear lakini halitoi gharama za malipo kwa kilometa, contracts ya kazi, ujuzi wa utaalamu nj anyway ngoja nitawasiliana nanyi
Yes mkuu namba zipo hapo tukiwasiliana tunaweza kukuelekeza kwa kina zaidi mkuu
 
Back
Top Bottom