Mh.. Wanajitengenezea cancer bila kujua!
Je wangetumia mitishimba, ungebadili msimamo wako Amy? Kuna habari njema pia, kwani kuna mitishamba inayoweza kufanya kazi hii hasa kwa wale walio flat kifuani. Miti/Mimea hiyo ni kama
Fenugreek : Kwa kawaida matunda ya mmea huu yalikuwa yanatumika na wanawake wa Kigiriki kuongeza ukubwa wa matiti yao na imehakikishwa kisayansi kuwa mtishamba huu huongeza athira ya mastogenic kwa misuli inayotengeneza maziwa. matunda( mbegu ) ya mtuii huo yalikuwa yanatengeneza aina ya dawa ijulikanayo kama phytochemical diosgenin na estrogenic isoflavones zinazooongeza utengenezaji wa dawa ya estrogen katika mwili, dawa ambayo ni ufunguo kwa matiti yenye shepu ya mchonoko na yaliyojaa.
Mmea wa Saw Palmetto:Huu ni mmea wa kaskazini mwa Marekani na kwamba unafanana na mtende ni moja ya mmea wenye kemikali chache unaotengeneza musuli na husawazisha matatizo ya mkaziwa yenyewe.
Fennel Seed:Husaidia kuzalisha musuli nyingine mpya
L-Tyrosine:Hii ni amino acid, Tyrosine ambayo hudhibiti uzalishaji wa homoni na hivyo kupunguza unene na.
Mexican Wild Yam:Matumizi ya kila siku yanapunguza michirizi isiyotakiwa katika matiti.
Kelp:Ni zao la baharini. Ni chanzo bora cha madini ya iodine chakula chenye hiki huleta homoni zilizojipanga vyema.
Damiana:Kikawaida hutumika kwa ajili ya kuleta mizania ya homoni.Kuleta ukuzi mwema wa matiti, kupunguza dalili za matatizo yanayoambatana na siku za hedhi na kuchanganya ashiki;husaidia kupunguza uzito kuleta nguvu na kuondoa uchovu.
Dong Quai:kikawaida mmea huu wa Asia hutumika kuripea seli ikiwemo ya mammorianna, (tezi za matiti).
Mother's Wort:Mmea uliopo sehemu nyingi za Ulaya na kandoni mwa mito ambazo hutoa msukumo fulani katika kano la uzazi.
Black Cohosh :Mmea unaopatikana kaskazini mwa Marekani hutumika kama dawa ya kubadilisha homoni.(known as both
Actaea racemosa and
Cimicifuga racemosa).
Mmea huu husaidia hata kansa ya titi
Avena Sativa:Ni kama shayiri na ina kiasi kikubwa cha saponins, flavonoids, minerals, na alkaloids kwa ajili ya mfumo wa homoni.
Humulus Lupulus (
Common Hop): Mmea huu husaidia kuimarisha matiti. It contains
phyto-estrogen which acts like the
female hormone estrogen in the body. This plant has also been used for menstrual difficulties for over 2500 years, with its earliest uses documented during early Roman and Greek history.
N.B
Ni lazima kuwe na mizania ya mitishamba hapo juu ili kupata kile kitu unachotaka. Na ndio maana Kliniki moja ya Afrika Kusini(
St Herb Beauty Breast Care) imekuja na fomula yake inayoitwa Beauty Bust Herbal Breast Enlargement Formula ambayo ina mchanganyiko wa mimea hiyo na ambayo hushawishi kukua kwa misuli za matiti ili kuyaongezea uzuri matiti yako.