Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
Kazi tunayo wote FL, haya unapokuwa na mtu anayekutia moyo na kukuunga mkono kama mimi.Naona wanawake tuna kazi sana ,mie ningeshauri hiyo mimea lakini naona yote inapatika overseas ..
Yaani ndugu entrepreneur naomba nikubaliane na wewe point ya macho na kutofautisha na kuchukua hatua haswa baada ya kitu nilichokiona leo,
Ni hivi mimi nina vipaka vyangu viwili kimoja kinaitwa sweetie cha kike na kingine xmas cha kiume vilizaliwa xmas, sasa sweetie ana mkia wa kawaida tu ila wa xmas ni mrefu zaidi na hili niliona linamfanya xmas uncomfortable ila home tukasema si bado anakua no problem, ila siku zilivyokuwa zinaenda nikawaambia jamani xmas ataukata mkia wake mwenyewe
Wakaniambia haiwezekani, basi mi nikaendelea na observation tu huwezi amini leo namuangalia mkia mfupi kashaukata ila ubaya sasa umekuwa tena mfupi kuliko wa sweetie embu pata picha huyu ni paka binadamu je?hichi ni live ntatafuta kamera niwapigie picha muone. nimejifunza jambo kubwa, usisahau xmas anauguza kidonda.
Haa haaa haaa.
Judgement, ina maana wapo wanaozunggumzia uzuri wa matiti kwa sababu za kunyonya?
Kwani nao, kwa umri wao wanafika huku?
Sasa itabidi either sisi tuchague maneno ya kuyaandika kwa uangalifu au Adminstrators waongeze restriction yenye kigezo cha umri
ONYO. Hii ni kwa wakubwa tu
From the business point of viewhiyo mimea ya asili inaleta tokeo fasts fasta. watu hatupendi ngoja ngoja.
Judgement, Karibu tuwekeze kwenye hii kitu huku tukiwasaidia dada, wake na mama zetu. Hata hivyo, bado somo linaendeleaMjasiri wa mali, huu uzi umetuongezea maarifa ya kumwaga.
Mkuu mwanamme haachagi kunyonya. We unadhani ni kwanini wale machangu huwa wanapaka madawa ya kulevya kwenye matiti? Titi linahitajiwa na kila mwanaume lijali ndo maana maboresho yake mi naona sawa tuDandabo, unayapenda kwa? ................
Kwani bado hujaachishwa nyonyo ?
Au unayo sababu nje ya hizi ?
Hivi eeh,
mie mke wangu hata awe na leso, hiyo hiyo. Akiyanyanyua tu, naoa mke mwingine.
Yale yakishaajaa kama huyapendi anayapiga pancha!Hivi eeh,
mie mke wangu hata awe na leso, hiyo hiyo. Akiyanyanyua tu, naoa mke mwingine.
Na raha ya kunyonya titi ni yaliyosimama si yaliyolala!Manyonyo raha yake kunyonywa na c kucmama
Kwa kuwa umesema nyonyo, umenikumbusha utotoni hivyo sitakupinga ila ngoja nikupe ukweli kuhusu matitiManyonyo raha yake kunyonywa na c kucmama
Mmh! dandabo, sasa unamaanisha matiti ni kama tube? au tubeless?Yale yakishaajaa kama huyapendi anayapiga pancha!
Sasa Kongosho, hapo kwenye bold tuweke kama tiba mbadala au?. Sisi tulidhania mtu mzima akinyonya ni kwa ajili ya sexual pleasureafu ujue nimespesholize kwenye unyonyaji?
Inapunguza uwezekano wa kansa ya matiti, shauri zenu nyie kaeni mkitafuta yalosimama mie niko bize nanyonya.