Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Habari yenu wana jf hope mko poa wote.
Niende kwenye mada husika je unasifika kwa tabia lipi mtaani kwako unapoishi? eg.upole,ukorofi,u-play boy or u-play girl,uongo,shilawadu(umbeya) n.k

weka tuone unasifka kwa lipi katika jamii yako..
 
Kutokana na maana na asili ya jina langu basi kila mtu anionapo na kuongea na mimi japo dk mbili tu huwa anasema kweli jina lako linasadifu tabia yako.

Ni mpole na mwenye huruma . Ndivyo nilivyo na watu huwa wananielezea hivyo hata nisipokuwepo hizi sifa mara nyingi huwa nazipata kwa mama yangu mzazi mpaka kuna mzee mmoja alitaka kunipa binti yake nioe akiamini atakuwa kwenye mikono ya mwanamume sahihi.
 
kwa staili yangu ya maisha watu wananiona bonge la mshamba, sijui chochote.. na mimi napenda hiyo staili sana
hahahaaa. Safi sana kiongozi. Uko kama mimi. Yaani hata baadhi ya marafiki zangu wa karibu hawafahamu tabia yangu, huwa nabadilika kulingana ma mazingira -niko wapi, nipo mahali hapo kwa dhumuni gani, nani yuko karibu na mimi, ni mda gani, ... Yani full kuwachanganya watu. Kuna wengine wanajua sipigagi story na mtu, kuna wengine wanadhani sitimii kilevi cha aina yeyote, kuna wengine wanajua mimi ni bonge la mlokole, kuna wengine wanahani mimi ni chapombe wa kufa mtu, kuna wengine wanasema mimi ni napenda sana malaya, wengine wananionma mimi bonge la mshamba etc. lakini yote hayo ni uongo... najijua mimi mwenyewe. sijui humu JF naonekanaje
 
Sina rafiki, hua sipendi kukaa na watu kitaa, mpole, mkimya, In short napenda maisha ya pekee yangu tu na hata madem nawaona bata pori tu..
weweee mademu unawaona bata pori..! mbona kama unataja kunihakikishia upo kwenye chama cha CHAPUTA
 
Back
Top Bottom