Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa. Safi sana kiongozi. Uko kama mimi. Yaani hata baadhi ya marafiki zangu wa karibu hawafahamu tabia yangu, huwa nabadilika kulingana ma mazingira -niko wapi, nipo mahali hapo kwa dhumuni gani, nani yuko karibu na mimi, ni mda gani, ... Yani full kuwachanganya watu. Kuna wengine wanajua sipigagi story na mtu, kuna wengine wanadhani sitimii kilevi cha aina yeyote, kuna wengine wanajua mimi ni bonge la mlokole, kuna wengine wanahani mimi ni chapombe wa kufa mtu, kuna wengine wanasema mimi ni napenda sana malaya, wengine wananionma mimi bonge la mshamba etc. lakini yote hayo ni uongo... najijua mimi mwenyewe. sijui humu JF naonekanajekwa staili yangu ya maisha watu wananiona bonge la mshamba, sijui chochote.. na mimi napenda hiyo staili sana
ndugu, hakikisha umamcha mungu wako kwa moyo wako woteMpole ila nisikasirishwe, mkristo mkatoliki anayejitahidi kuishi maisha yanayompendeza Mungu.
weweee mademu unawaona bata pori..! mbona kama unataja kunihakikishia upo kwenye chama cha CHAPUTASina rafiki, hua sipendi kukaa na watu kitaa, mpole, mkimya, In short napenda maisha ya pekee yangu tu na hata madem nawaona bata pori tu..