Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Servant of God
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee au wewe ni ndugu yangu nini?sifa mtaani za nini sasa kwa mfano.mie mburula tu.kwa staili yangu ya maisha watu wananiona bonge la mshamba, sijui chochote.. na mimi napenda hiyo staili sana
Duuh...!! Na wewe ni kama mimi.hongera sana uko kama mimi
yawezekana ni mimi.. sema pia sionekani mara kwa maraKuna dada mmoja mpole sana mtaani kwetu sijui ndio weye? miss chagga
Hahahaahahahaha! We kweli balaa sana itabidi utangaze kipaji chako unaweza pata kazi hiyo nnje na mkoa uliopo.Mimi kwa kupiga wezi ni balaa ninatoa mapigo murua kabisa yaani imefikia hatua nikiwa nimesafiri wakimkamta mwizi wanamuhifadhi vizuri kabisa wanasubiri nirudi nimtembezee kichapo
usijari nipo hapa mtoto wa watu mpole sana na mnyenyekevuJaman kila MTU humu mpole MTU wa watu mkarimu lol [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] M/Mungu nijaalie nipate mume jf mana wote wanasifa sitahili!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cifa za nyuma ya keyboard OK xawa utakuwa mume wa jf !usijari nipo hapa mtoto wa watu mpole sana na mnyenyekevu