Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

Duuh mi sifa angu eti nina uzungu mwingi, maringo, sisalimii[emoji15] [emoji15] ...

Yaani hata mwenyewe nikiambiwaga hizi story huwa sijielewi...
 
Sina rafiki, hua sipendi kukaa na watu kitaa, mpole, mkimya, In short napenda maisha ya pekee yangu tu na hata madem nawaona bata pori tu..
Tumefanana mkuu sina muda na mtu iwe kitaani iwe barabarani popote pale ninapokuwa sitaki marafiki
Kutongoza wasichana sina muda huo labda ni kumuhonga tu tukimaliza mchezo tusijuane sina demu sababu hawaeleweki
 
Jaman kila MTU humu mpole MTU wa watu mkarimu lol [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] M/Mungu nijaalie nipate mume jf mana wote wanasifa sitahili!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

Humu watu ni fekerooo sijapata ona

Full uongoo yaani..
 
Duuh mi sifa angu eti nina uzungu mwingi, maringo, sisalimii[emoji15] [emoji15] ...

Yaani hata mwenyewe nikiambiwaga hizi story huwa sijielewi...
avatar inaonyesha tu we cyo wa mchezo sport
 
hahahaaa. Safi sana kiongozi. Uko kama mimi. Yaani hata baadhi ya marafiki zangu wa karibu hawafahamu tabia yangu, huwa nabadilika kulingana ma mazingira -niko wapi, nipo mahali hapo kwa dhumuni gani, nani yuko karibu na mimi, ni mda gani, ... Yani full kuwachanganya watu. Kuna wengine wanajua sipigagi story na mtu, kuna wengine wanadhani sitimii kilevi cha aina yeyote, kuna wengine wanajua mimi ni bonge la mlokole, kuna wengine wanahani mimi ni chapombe wa kufa mtu, kuna wengine wanasema mimi ni napenda sana malaya, wengine wananionma mimi bonge la mshamba etc. lakini yote hayo ni uongo... najijua mimi mwenyewe. sijui humu JF naonekanaje


Nilitaka kuongeza ila umemaliza kila kitu mkuu
 
Nasifika kwa ukauzu maana hua nagawa mapigo mwanana kwa wezi,wasionijua hua ngumu kunizoea ila nikifungua milango mi rafiki mwema,mcheshi na mwaminifu kupindukia maana ht nikifanya baya hua nateseka mno nafsin!
 
ukitombi ndo yangu sifa,wananijua xana nikij na mgen wa kike nikiwakut wamekaa nje lazm waingie ndani wanaogop kuckia miguno ya ajabu
 
Back
Top Bottom