Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

kwa staili yangu ya maisha watu wananiona bonge la mshamba, sijui chochote.. na mimi napenda hiyo staili sana
Aisee au wewe ni ndugu yangu nini?sifa mtaani za nini sasa kwa mfano.mie mburula tu.
 
Naogopeka sijui kwa nini? Mtu mpaka anizoee inahitaji moyo.
 
Mimi kwa kupiga wezi ni balaa ninatoa mapigo murua kabisa yaani imefikia hatua nikiwa nimesafiri wakimkamta mwizi wanamuhifadhi vizuri kabisa wanasubiri nirudi nimtembezee kichapo
Hahahaahahahaha! We kweli balaa sana itabidi utangaze kipaji chako unaweza pata kazi hiyo nnje na mkoa uliopo.
 
Jaman kila MTU humu mpole MTU wa watu mkarimu lol [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] M/Mungu nijaalie nipate mume jf mana wote wanasifa sitahili!!!
 
Jaman kila MTU humu mpole MTU wa watu mkarimu lol [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] M/Mungu nijaalie nipate mume jf mana wote wanasifa sitahili!!!
usijari nipo hapa mtoto wa watu mpole sana na mnyenyekevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…