BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Tumefanana mkuu sina muda na mtu iwe kitaani iwe barabarani popote pale ninapokuwa sitaki marafikiSina rafiki, hua sipendi kukaa na watu kitaa, mpole, mkimya, In short napenda maisha ya pekee yangu tu na hata madem nawaona bata pori tu..
Ni assist mkuu elfu 50,000..URAIMUNDO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Jaman kila MTU humu mpole MTU wa watu mkarimu lol [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] M/Mungu nijaalie nipate mume jf mana wote wanasifa sitahili!!!
Love u witnessj una mgongo mtoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
Humu watu ni fekerooo sijapata ona
Full uongoo yaani..
Sawa JovMpole, mkimya
hahahaaa. Safi sana kiongozi. Uko kama mimi. Yaani hata baadhi ya marafiki zangu wa karibu hawafahamu tabia yangu, huwa nabadilika kulingana ma mazingira -niko wapi, nipo mahali hapo kwa dhumuni gani, nani yuko karibu na mimi, ni mda gani, ... Yani full kuwachanganya watu. Kuna wengine wanajua sipigagi story na mtu, kuna wengine wanadhani sitimii kilevi cha aina yeyote, kuna wengine wanajua mimi ni bonge la mlokole, kuna wengine wanahani mimi ni chapombe wa kufa mtu, kuna wengine wanasema mimi ni napenda sana malaya, wengine wananionma mimi bonge la mshamba etc. lakini yote hayo ni uongo... najijua mimi mwenyewe. sijui humu JF naonekanaje