Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
mi 90s mwishoni ila kwa wiki siku 4 au 3 usiku lazima nisikilize Radio one nakula ngoma za wazee kina Celine dion,Marc Anthony,backstreet boyz kuwaenziHayo mambo tuwaachie ma legend kizazi Cha 60s-80s sisi 90s ni TikTok na social networks
Tena sisi ndio unatuonea manake vipindi vya siku hizi vimebadilika sana, Mimi hata kwenye gari tu siwashi redio naona Bora nikae kimya kuliko kusikiliza makelele na matangazo ya kubetHayo mambo tuwaachie ma legend kizazi Cha 60s-80s sisi 90s ni TikTok na social networks
Radio bado duniani kote inasikilizwa na rika zote.Hayo mambo tuwaachie ma legend kizazi Cha 60s-80s sisi 90s ni TikTok na social networks
.1. Matangazo ya DW Asubuhi na jioni, jtatu mpaka ijumaa
2. Jmos na jpili ni BBC world service muda wote