Je unasikiliza redio kwa siku ngapi kwa wiki? Unasikiliza vipindi gani?

Je unasikiliza redio kwa siku ngapi kwa wiki? Unasikiliza vipindi gani?

Binafsi nasikiliza radio mara mbili tu kwa wiki. Nasikiliza siku ya Ijumaa Asubuhi na Jumamosi asubuhi.

Radio ninayosikiliza ni Radio One. Na siku ya Ijumaa nasikiliza kuanzia saa nne na robo asubuhi, kipindi cha nyimbo za zamani. Na sìku ya Jumamosi nasikiliza kipindi cha Kiswahili. Baaaaaaas
Kwani redio bado zipo?
 
Radio bado duniani kote inasikilizwa na rika zote.
.
20230322_121857.jpg
 
Binafsi nasikiliza radio mara mbili tu kwa wiki. Nasikiliza siku ya Ijumaa Asubuhi na Jumamosi asubuhi.

Radio ninayosikiliza ni Radio One. Na siku ya Ijumaa nasikiliza kuanzia saa nne na robo asubuhi, kipindi cha nyimbo za zamani. Na sìku ya Jumamosi nasikiliza kipindi cha Kiswahili. Baaaaaaas
Kwenye nyimbo za zamani hapo umenigusa patam[emoji38]

Ni zipi uzipendazo?
 
Everyday JOTO LA ASUBUHI Efm akishaingia mzee wa dudumizi bin kazumari nahamia EA RADIO supa breakfast (wavuni) na best presenters Evance bukuku na Bob mongi.
 
Mimi ni podcasts kwa sana na bbc world service kunapokuwa na habari kubwa
 
Nenda playstore download app inaitwa RADIO GARDEN. Ila lazima uwe na data uweze kusikiliza stesheni zote ulimwenguni.
Screenshot_20230527_132930.jpg
Screenshot_20230527_133021.jpg
 
Toka redio zilivogeuka kua wahamasishaji wa betting nimeacha kuskiliza redio
 
Write your reply...Asee mindo ulevi wangu yani redio kwangu mdawote haizimwi labda umeme ukatike..kwanzia asubuhi mpaka Asubuh yake kutwa mara 7. radio inanguruma
 
Back
Top Bottom