Kwani redio bado zipo?Binafsi nasikiliza radio mara mbili tu kwa wiki. Nasikiliza siku ya Ijumaa Asubuhi na Jumamosi asubuhi.
Radio ninayosikiliza ni Radio One. Na siku ya Ijumaa nasikiliza kuanzia saa nne na robo asubuhi, kipindi cha nyimbo za zamani. Na sìku ya Jumamosi nasikiliza kipindi cha Kiswahili. Baaaaaaas
.Radio bado duniani kote inasikilizwa na rika zote.
Kwenye nyimbo za zamani hapo umenigusa patam[emoji38]Binafsi nasikiliza radio mara mbili tu kwa wiki. Nasikiliza siku ya Ijumaa Asubuhi na Jumamosi asubuhi.
Radio ninayosikiliza ni Radio One. Na siku ya Ijumaa nasikiliza kuanzia saa nne na robo asubuhi, kipindi cha nyimbo za zamani. Na sìku ya Jumamosi nasikiliza kipindi cha Kiswahili. Baaaaaaas
Unauliza vituo vya kurushia matangazo ya radio au radio 📻 chombo cha kupokelea matangazo?Kwani redio bado zipo?
Ya Profesa Jay na Hard Blasters?Chemsha bongo bado ipo?
Ya marehemu Misanya Dismas BingiYa Profesa Jay na Hard Blasters?