Je, unatafuta mtu wa kusimamia mitandao yako ya kijamii kwenye taasisi au shirika lako?

JOVAINEVANJOV

Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
9
Reaction score
0
Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi nipo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma

Wasiliana nami kupitia namba zilizoko kwenye Bango hapo chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…