Je, unataka kujua siri za mkeo?

Shetani akafurahi kichizi
 
Ongeza sauti au basi imetosha.

Wanaume wanaotafuta mbinu daily za kutaka kujua siri za wake zao kwanza hawajiamini pili ni wazee wa micheps huko nje so anadhani anayofanyia wake za watu na mkewe anafanyiwa hivyo. By the way kama unadinya wake za watu na kuna uwezekano na wako akadinywa so usije ukashangaa. Japo wanawake inakua ngumu na kama una hofu ya Mungu na unawatoto kadhaa ila kama mkeo ni yule una mwaga mboga anamwaga ugali tegemea tukio au ni bora uendelele na hamsini zako.
 
Sasa kama anakufanyia mema yote hayo ya nini kufukunyua madhaifu yake , wengine tunataman hyo Hali wake zetu watufanyie Ila wewe unajitahd kutafta alipopungua duuh
 
Sasa kama anakufanyia mema yote hayo ya nini kufukunyua madhaifu yake , wengine tunataman hyo Hali wake zetu watufanyie Ila wewe unajitahd kutafta alipopungua duuh
Ndoa ni matumizi ya akili. Usipotumia akili kuishi na mkeo, mitandao ya kijamii itaongoza ndoa yako.
 
Kwa sisi ambao hatuwafualiii wake zetu mnatueka kwenye kundi gani? Kwamba hatuna mapenzi na wake zetu ama tunafanya ujinga kutokuwafuatilia wake zetu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waulizeni madereva wa Bodaboda ndio wanajuwa habari za wake zenu kuliko mnavyowajuwa nyinyi.
 
Sanamu lako lijengwe ikulu mkuu!!


Presha za kujitakia sio kabisa n
 
KumbeeeeπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Mwite mke wa jirani yako MALAYA. Utapewa siri zote za mkeo


Yaani umtusi mke wa jirani yako kwa tusi la "Malaya" ili upate undani wa mkeo??!!, hakika hiyo sio njia bora ya kujua undani wa mkeo kwani yawezekana kutokana na hasira za wewe kumwita Malaya na yeye atajibu kwa hasira kumzulia mkeo mambo ya uongo ili tu na wewe uumie kama jinsi alivyoumia yeye, Tafadhali angalia huu upande mwingine wa sarafu.
 
Japan ilipigwa bomu la nuclear sio kwasababu ilikuwa ni tishio kwa Marekani, ila ilikuwa ni kumuonesha Mrusi kwamba usijaribu kucheza nasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…