Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Halafu una mtekenya ka shot ya K VengaTeteteeee..... eti mnyweshe kichwa cha panzi bia mbili....😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu una mtekenya ka shot ya K VengaTeteteeee..... eti mnyweshe kichwa cha panzi bia mbili....😅😅😅
Shetani akafurahi kichiziWaligombana majirani wawili wanaume juu ya nafasi ya kupaki gari appartments zimejengwa kwa kubanana, wakapelekana mpaka kwa mjumbe. Mjumbe akaita kikao cha wakazi wa zile appartments, na wake zao wakahudhuria, ugomvi ukawa bado mkubwa ikafikia hali wale wake zao kuingilia kati. Mwishowe ugomvi ulibadilika ukahamia kwenye mambo ya mkeo mwenyewe mala.ya anatoka na sombody xxx.. na mwanamke mwingine nae kaanza unatoka na yyy.
Ushauri: ugomvi wa wanaume ukichanganywa na wake zao unakuaga si wakaiwaida, hapo utajua siri zote hata mtoto unaedhani ni wako kumbe si wako utapata taarifa kamili. haha.
Huo ubabe sasaNjia yote ndefu hivo ya nini nigombane na jirani!!
Njia fupi kibao atasema mwenyewe....
Wasipokuwa na hekima ya kuongoza ndoa zao, ndoa zao zitaongozwa na mitandao ya jamiiMnazidi wachanganya vijana ambao hawaja oa..
Haha hahaKataa Ndoa
Ongeza sauti au basi imetosha.Ninao uwezo wakudukua mawasiliano yote ya mke wangu lakini staki kuumiza moyo wangu,nampenda sana mke wangu, Kama anamakando kando yake Mimi hayanihusu, yanini ni- kompliketi Maisha wakati Maisha yenyewe mafupi tu Ni Kama umande wa asubuhi.
Jipe Raha acha kutafuta matatizo , acha matatizo yakutafute,Sasa nikijua what next? Hakuna mkamilifu kikubwa tu atunze heshima yako! Tatizo la wanaume wengi wanapenda kujiona wanamamlaka makubwa juu ya wenza wao kuwaliko wanawake, ndo maana mnaua just because ya katundu ambako hakana maana!!
Sasa kama anakufanyia mema yote hayo ya nini kufukunyua madhaifu yake , wengine tunataman hyo Hali wake zetu watufanyie Ila wewe unajitahd kutafta alipopungua duuhMbele ya macho yako mkeo ni mtakatifu sana, hana kasoro wala dosari hata moja. Ni msafi, ana heshima, ana wajibika vyema, ni mbunifu na mburudishaji wako mzuri kitandani.
Ratiba zake zote unazijua, na simu yake haina password. Lakini wahenga walishasema, moyo wa mtu ni msitu mnene, amini usiamini, kikulacho ki nguoni mwako.
Je, wataka kujua siri za mkeo?
Mwite mke wa jirani yako MALAYA. Utapewa siri zote za mkeo
Ndoa ni matumizi ya akili. Usipotumia akili kuishi na mkeo, mitandao ya kijamii itaongoza ndoa yako.Sasa kama anakufanyia mema yote hayo ya nini kufukunyua madhaifu yake , wengine tunataman hyo Hali wake zetu watufanyie Ila wewe unajitahd kutafta alipopungua duuh
Nilikuona uki typing rafikiNshatype mkuu
staki kuumiza moyo wangu,
😁😁😂 Hakana maana !!? Sas unaumiaje moyo wako kwa kitu ambacho hakina maana?mnaua just because ya katundu ambako hakana maana!!
Sanamu lako lijengwe ikulu mkuu!!Ninao uwezo wakudukua mawasiliano yote ya mke wangu lakini staki kuumiza moyo wangu,nampenda sana mke wangu, Kama anamakando kando yake Mimi hayanihusu, yanini ni- kompliketi Maisha wakati Maisha yenyewe mafupi tu Ni Kama umande wa asubuhi.
Jipe Raha acha kutafuta matatizo , acha matatizo yakutafute,Sasa nikijua what next? Hakuna mkamilifu kikubwa tu atunze heshima yako! Tatizo la wanaume wengi wanapenda kujiona wanamamlaka makubwa juu ya wenza wao kuwaliko wanawake, ndo maana mnaua just because ya katundu ambako hakana maana!!
Kumbeeee🤔🤔🤔🤔Waligombana majirani wawili wanaume juu ya nafasi ya kupaki gari appartments zimejengwa kwa kubanana, wakapelekana mpaka kwa mjumbe. Mjumbe akaita kikao cha wakazi wa zile appartments, na wake zao wakahudhuria, ugomvi ukawa bado mkubwa ikafikia hali wale wake zao kuingilia kati. Mwishowe ugomvi ulibadilika ukahamia kwenye mambo ya mkeo mwenyewe mala.ya anatoka na sombody xxx.. na mwanamke mwingine nae kaanza unatoka na yyy.
Ushauri: ugomvi wa wanaume ukichanganywa na wake zao unakuaga si wakaiwaida, hapo utajua siri zote hata mtoto unaedhani ni wako kumbe si wako utapata taarifa kamili. haha.
Mwite mke wa jirani yako MALAYA. Utapewa siri zote za mkeo
Japan ilipigwa bomu la nuclear sio kwasababu ilikuwa ni tishio kwa Marekani, ila ilikuwa ni kumuonesha Mrusi kwamba usijaribu kucheza nasiYaani umtusi mke wa jirani yako kwa tusi la "Malaya" ili upate undani wa mkeo??!!, hakika hiyo sio njia bora ya kujua undani wa mkeo kwani yawezekana kutokana na hasira za wewe kumwita Malaya na yeye atajibu kwa hasira kumzulia mkeo mambo ya uongo ili tu na wewe uumie kama jinsi alivyoumia yeye, Tafadhali angalia huu upande mwingine wa sarafu.