Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

VITUNGUU NIMEVIELEZA HUMU MKUU, UKIPATA TIME JARIBU KUPITIA HUU UZI UTAPATA MAJIBU, JUU YA AINA , NAFASI YA KUPANDIA, MUDA WA KUKAA KITALUNI, MBOLEA ZA KUTUMIA NA JINSI YA KUWEKA MBOLEA, JINSI YA KUANDAA KITALU,

ILA KAMA UTAPENDA IKO PDF YA KITUNGUU (SOFT COPY) IKO SOKONI NAKUTUMIA KWA NJIA YA E-MAIL

Asante mkuu ngoja nipitie alafu ntakucheki. God bless you
 
NIMEKUJIBU KWA PM MKUU, CHEKI IN BOX YAKO
Habari mkuu??? naomba msaada wako katika haya!!
1. Eneo nilipo kwa sasa mvua imeanza, na nilitaa kulima nyanya au hoho
2. Je kati ya hayo mazao ni lipi linastahimili mvua (na maradhi yanayohusika na mvua)
3. Nimeona mbegu za RIo Grande je ni nzuri kwa nyanya hasa kipindi cha mvua? kama sio ipi nzuri?
 
eti kiongozi unaweza ukatumia drip line irrigation kumwagilia nyanya kwenye open field? maana naona zinatumika tu kwenye greenhouse
 
naomba kuuliza ni aina gani ya nyanya hybrid ndefu ambayo ina gamba gumu na ninaweza kuvuna kwa miezi sita,kwani nataka nilime mwezi wa tisa ili nami nigongane na bei nzuri kama hao waliolima EVA F1 walioanza kuvuna mwezi wa kumi mpaka sasa maana miezi hii yote nyanya ina bei nzuri. Pia naomba nitumie namba yako kwenye mlyukatina@yahoo.com na gharama za kutumiwa pdf ya kilimo cha nyanya.Asante.
 
Mkuu Leo kazi imeanza ya kupeleka nyanya shambani baada ya kuacha Jana kwa ajili ya Agrifos 400. Nakushukuru kwa ushirikiano wako wa kipekee najua Mungu ataweka mikono yake. Tumeenda vizuri japo changamoto ya vibarua ni kubwa.
Tunashukuru sana kama mambo yameiva. Naomba unitumie kule kule mkuu na pesa inaingia kwako Sasa hivi mkuu. Mchango wetu si ule ule? umastahili mchango huu japo ni mdogo kukupa nguvu
 
SHUKRANI KIONGOZI, NAKUTAKIA MAFANIKIO SHAMBANI,

MAN POWER NI CHANGAMOTO SANA KWETU HAPA NCHINI WATU HAWAKO SERIOUS NA KAZI, NA USIPOWA SIMAMIA NDIO KABISAAA UNAPATA HASARA

USIKATE TAMAA TUAMINI MUNGU ATAWEKA BARAKA ZAKE UTAFANIKIWA

ASANTE SANA MCHANGO NIMEUONA

PDF TAYARI IMESHAKUJA KWAKO MKUU-CHEKI EMAIL YAKO.

SHUKRANI SANA
Nimeiona nashukuru. Ngoja nipate elimu hii adimu.
 
Mkuu kilimo hope umeshinda salama. Naomba kuuliza hivi kuna mbegu maalumu za tikiti za kupanda kwenye kitalu nyumba [green house] au zinapandwa hizi hizi za kawaida tunazolima open space?.
Nashukuru
 
-NIKO SALAMA KIONGOZI
-SINA HAKIKA KAMA ZIPO HIZO MBEGU
-ILA KWA TAARIFA YAKO NI KUWA HATUSHAURI SANA UPANDE MAZAO YA KUTAMBAA NDANI YA GREEN HOUSE, TUNASHAURI ZAIDI PANDA MAZAO YA KWENDA JUU (MATANGO, NYANYA, HOHO ETC) NDANI YA GREEN HOUSE ILI UMAXIMIZE ENEO NA PRODUCTION (HIGH YIELDS Vs SMALL AREA) .
-LABDA KAMA UNA GREEN HOUSE KUBWAAA SANAA, LAKINI KWA HIZI ZA KIBONGO BONGO ZA 8M X 15M, AU 20M X 20M.. TUNASHAURI ZAIDI TAFUTA MAZAO YANAYOENDA JUU SI YA KUTAMBAA
..
Vertical expansion makes more profit than the horizontal one
 
Hivi mkuu kuna tofauti ya nguvu kati ya ebony 72 wp na ivory 72 wp?
Nisaidie tu kuwa angalia hizi fungicide kuwa Zina nini?
Kama Ina mancozeb tu hiyo ni kukinga tu. Protection
Kama Ina mancozeb + metalayx hiyo hukinga na hutibu protection and curative
Haya majina sio issue ila kiwatilifu ndio cha maana
 
Pamoja sana Agronomist Mwenzangu
Uko sawa

Nisaidie tu kuwa angalia hizi fungicide kuwa Zina nini?
Kama Ina mancozeb tu hiyo ni kukinga tu. Protection
Kama Ina mancozeb + metalayx hiyo hukinga na hutibu protection and curative
Haya majina sio issue ila kiwatilifu ndio cha maana
 
PAMOJA SANA.. KARIBU
Mkuu habari za masiku?

Juzi ulinishauri nilime nyanya badala ya hoho kutoka na hili eneo mvua/masika imeanza. Sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo (ni kazi ya research) imenilazimu nilime hoho, sasa naomba mwongozo juu ya mbegu nzuri za hoho (hybrid na zisizo hybrid) ukizingatia kwa sasa ni masika, maandalizi yake,wakati wa kupanda/mbolea na matunzo kiujumla. thanks in advance.
 
Dah Safi sana huu uzi. Tusipotokea kwenye kilimo (kwa wale wenye ari nacho) ndio tujiulize.
Pdf zote zinaeleweka vizuri sana sana ni step by step maelezo. Mimi sijapata shida hadi Sasa. Naendelea kuhamisha nyanya zangu japo kweli mbegu hazitatosha kashamba kimekuwa kakubwa zaidi. Ila ngoja nipambane na zitakazo eneo. Kesho tutamaliza kupeleka shamba kuu. Asanteni wote kwa kuzidi kutupa maarifa.
Niuliza kuhusu tikiti kwani kuna huwa naziona zinatambaa juu na kuzaa. Kwenye google lakini so nikajua may be kuna special kinds zake.
Baraka ZIWE nawe mkuu
 
KILA LAKHERI MKUU
MUNGU ABARIKI JUHUDI ZAKO.

Back
Top Bottom