Mel James
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 356
- 290
Samahan mkuu nimeuona huu uzi wako leo kwa kweli umenivutia sana. Me naomba ushauri juu ya vitunguu nimepanda sasa miche mingi ya vitunguu na mingne imeanza kuota ila sina utaalamu wa kutosha naomba msaada wako