Asante sana kwa Maelezo mazuri sasa icho kitabu cha pdf ntakipateje?
VITUNGUU NIMEVIELEZA HUMU MKUU, UKIPATA TIME JARIBU KUPITIA HUU UZI UTAPATA MAJIBU, JUU YA AINA , NAFASI YA KUPANDIA, MUDA WA KUKAA KITALUNI, MBOLEA ZA KUTUMIA NA JINSI YA KUWEKA MBOLEA, JINSI YA KUANDAA KITALU,
ILA KAMA UTAPENDA IKO PDF YA KITUNGUU (SOFT COPY) IKO SOKONI NAKUTUMIA KWA NJIA YA E-MAIL
Email yangu ni lihetabilius@gmail. com nashukuru sanaNAKUTUMIA KWA NJIA YA E-MAIL, NI SOFT COPY
Habari mkuu??? naomba msaada wako katika haya!!NIMEKUJIBU KWA PM MKUU, CHEKI IN BOX YAKO
eti kiongozi unaweza ukatumia drip line irrigation kumwagilia nyanya kwenye open field? maana naona zinatumika tu kwenye greenhouse
Nimeiona nashukuru. Ngoja nipate elimu hii adimu.SHUKRANI KIONGOZI, NAKUTAKIA MAFANIKIO SHAMBANI,
MAN POWER NI CHANGAMOTO SANA KWETU HAPA NCHINI WATU HAWAKO SERIOUS NA KAZI, NA USIPOWA SIMAMIA NDIO KABISAAA UNAPATA HASARA
USIKATE TAMAA TUAMINI MUNGU ATAWEKA BARAKA ZAKE UTAFANIKIWA
ASANTE SANA MCHANGO NIMEUONA
PDF TAYARI IMESHAKUJA KWAKO MKUU-CHEKI EMAIL YAKO.
SHUKRANI SANA
Nimeiona nashukuru. Ngoja nipate elimu hii adimu.
Vertical expansion makes more profit than the horizontal one-NIKO SALAMA KIONGOZI
-SINA HAKIKA KAMA ZIPO HIZO MBEGU
-ILA KWA TAARIFA YAKO NI KUWA HATUSHAURI SANA UPANDE MAZAO YA KUTAMBAA NDANI YA GREEN HOUSE, TUNASHAURI ZAIDI PANDA MAZAO YA KWENDA JUU (MATANGO, NYANYA, HOHO ETC) NDANI YA GREEN HOUSE ILI UMAXIMIZE ENEO NA PRODUCTION (HIGH YIELDS Vs SMALL AREA) .
-LABDA KAMA UNA GREEN HOUSE KUBWAAA SANAA, LAKINI KWA HIZI ZA KIBONGO BONGO ZA 8M X 15M, AU 20M X 20M.. TUNASHAURI ZAIDI TAFUTA MAZAO YANAYOENDA JUU SI YA KUTAMBAA..
Vertical expansion makes more profit than the horizontal one
Nisaidie tu kuwa angalia hizi fungicide kuwa Zina nini?Hivi mkuu kuna tofauti ya nguvu kati ya ebony 72 wp na ivory 72 wp?
Nisaidie tu kuwa angalia hizi fungicide kuwa Zina nini?
Kama Ina mancozeb tu hiyo ni kukinga tu. Protection
Kama Ina mancozeb + metalayx hiyo hukinga na hutibu protection and curative
Haya majina sio issue ila kiwatilifu ndio cha maana
Mkuu habari za masiku?PAMOJA SANA.. KARIBU
Dah Safi sana huu uzi. Tusipotokea kwenye kilimo (kwa wale wenye ari nacho) ndio tujiulize.
Pdf zote zinaeleweka vizuri sana sana ni step by step maelezo. Mimi sijapata shida hadi Sasa. Naendelea kuhamisha nyanya zangu japo kweli mbegu hazitatosha kashamba kimekuwa kakubwa zaidi. Ila ngoja nipambane na zitakazo eneo. Kesho tutamaliza kupeleka shamba kuu. Asanteni wote kwa kuzidi kutupa maarifa.
Niuliza kuhusu tikiti kwani kuna huwa naziona zinatambaa juu na kuzaa. Kwenye google lakini so nikajua may be kuna special kinds zake.
Baraka ZIWE nawe mkuu