Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kirusoo
Karibu sana kiongozi, Kilimo ndio njia rahisi sana ya kujiajiri, kodi zake TRA bado hawajaziweka sawa, ukiweza kupambana na pembejeo (PEMBEJEO BORA NA SAHIHI), ukatime msimu vizuri, na ukawa na maarifa sahihi basi kilimo umefanikiwa, maana siku hizi watu wanatafuta masoko kwanza, then wanauziana shambani huko, kila mtu anaondoka na chake. BIASHARA ZINGINE URASIMU NI MWINGI SANA.
mkuu tatizo mitaji na pembejeo na vyanzo vya maji ya umwagiliaji mbogamboga
inamaana wengi wanaofanya kilimo cha kisasa wanakazi nyinginekirusoo
MKUU MITAJI INABIDI KUJIPANGA KWA KWELI, MAANA KILIMO KINAHITAJI PESA. BILA HIVYO UTAFANYA KILIMO CHA KUBAHATISHA KIONGOZI... NA MABENKI HAYA SI RAFIKI SANA HASA KWA SISI WATU WA CHINI.
kirusoo
KIONGOZI SI WOTE WANAOFANYA KILIMO CHA KISASA WANA KAZI NYIGINE, ILA UJUE TU KUWA KILIMO CHA KISASA NI GHARAMA, KWA HIYO HAO WATU WANAOFANYA KILIMO CHA KISASA WAKO VIZURI KIUCHUMI. KWA MFANO GREEN HOUSE YA 8 MITA UPANA, NA UREFU WA MITA 15,SI CHINI YA MILIONI 4,
GHARAMA YA DRIP LINE (DRIP IRRIGATION)-UMWAGILIAJI WA MATONE KWA EKA NZIMA SI CHINI YA MILIONI 3 GHARAMA ZA VIFAA NA FUNDI PIA.
HAPO BADO MBEGU ZA HYBRID ETC, NYINGI ZINAUZWA KWA PUNJE (IDADI).
Mkuu Nini Kazi Ya Polyfeed Finisher?
Asante sana kwa msaada wako mkubwa na moyo wa kuwasaidia wengine kupata elimu ambayo tukiifanyia kazi inaweza kutusogeza mbele kimaendeleo. Asante sana na jumapili njema.
kirusoo
SAWA MKUU
KAMA UTATUMIA/TEGEMEA MVUA BASI JITAHIDI SANA KUSOMA MAJIRA VIZURI, UTAFUTE HYBRID SEED (F1), UPANDE KWA NAFASI, NA UTUMIE MBOLEA ZINAZOTAKIWA.
KAMA UNATEGEMEA MVUA JITAHIDI SANA KUFAHAMU MAHITAJI YA MMEA WAKO.
KUNA MIMEA KAMA TIKITI, INAHITAJI MAJI MENGI PALE MWANZONI, MPAKA MATUNDA YANAPOAANZA KUJITENGENEZA BAADA YA HAPO MAJI INABIDI YAPUNGUZWE, ILI KUJENGA SUKARI, UKISHINDWA KUBALANCE HAPO MENGI YATAPASUKA KWA SABABU YA KUNYWA MAJI MENGI, NA HATA SUKARI INAKUWA KIDOGO SANA.
NAKUTAKIA MAFANIKIO.


Mungu akupe uhai mrefu tuzid kupata maarifa zaid ongera kwa kipaji ulichonacho na elimu yako
Tutafika kule tunapopataka kupitia hii elimu yako