NINA IMANI
Senior Member
- Jan 8, 2014
- 113
- 16
Mkuu tafadhali usinichoke, nyanya ya Rio grande na Eden ipi ina mavuno mengi?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[/quote]hiyo multi k kama iko na p sifuri (0) kweli , haitofaa katika viazi kama viko katika steji ya kutengeneza viazi, labda kama ipo katika stegi ya kukua hiyo itafaa. Hiyo multi k ingefa vizuri zaidi kama ingekuwa katika zao unalovuna matunda kama nyanya/bilinganyi ingefaa sana, coz hiyo n-nitrogen ingesaidia katika majani,na hiyo k-potassium ingesaidia sana katika matunda kunenepesha. Ila kwa viazi ilipaswa iwe na p-phosphorus kubwa (%) ili ile mizizi isaidie katika kupeleka chakula katika kiazi ili kiazi kiwe kikubwa. Kama uchumi wako si mzuri, unaweza piga hiyo hiyo multi k, but chini katika mizizi weka can mbolea kwa wingi ikusaidie kunenepesha kiazi... uote=nina imani;14911529]nilimwagiza mtu akaninunulie multi k booster, kanunua yenye namba (n)13%(p)o%(k) 46% je hii inafaa kwa viazi na nyanya
ingiza maji kwanza shambani, kisha piga hiyo starter polyfeed asubuhi au jioni, usipige mchana wakati wa jua kali utaathiri shughuli za wadudu
asante sana,je naweza kupiga polyfeed na nikaichanganya na dawa ya wadudu na ridomil kwa pamoja?
Naomba kuuliza je naweza kukuzia can kwenye nyanya na nikapiga polyfeed kwenye majani siku hiyo hiyo, au can itanyonya nguvu ya polyfeed? Asante