Kazi yangu hapa shamba.. Dah sijui nimepatia hii kazi ila ndio kukomaa kiakili ya kilimo. Mkuu kilimo nipe maoni mkuu. Leo namalizia kazi hapa. Nimejaribu kuweka mistari miwili katika tuta moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah Asante kwa kunipa moyo. Zig zag bwana zikuinote kwenye uzi.. Nadhani nilipitiwa.. Ila nikaja kuikuta kwenye pdf.. Kiukweli sijaweka ya kuplan zipo zilizokaa ila zilijipatia tu. Dah so effect yake itakuwa nini mkuuHONGERA SANA MKUU
UMEJITAHIDI SANA KAMA NI PEPA NAKUPA 90%, HIZO 10% NI ZA MWALIMU.
NINA HOFU KAMA UMEKUMBUKA KUTENGENZA LILE UMBO LA TRIANGLE/ZIGZAG KATIKA MICHE ILIYOMISTARI MIWILI INAYOFUATANA, YAANI MICHE YA MSTARI WA PILI, INAKUWA KATIKATI YA NAFASI ZA MICHE YA MSTARI WA KWANZA LENGO NI KUEPUKA HII MICHE YOTE KUWA KATIKA POSITION MOJA/USAWA MMOJA IKIKUWA INABANANA MAANA HAKUNA TRIANGULATION BETWEEN THE TWO.
Noted mkuu. Nimeshazinunua nilitaka nizitumie baadae ila ngoja zifanye hiyo kazi. Nashukuru kwa moyo usiochoka kunipatia elimu hii ambayo vyuo vichache vinaitoa.. Thanx sana brochayowa
UKIWEZA MKUU TAFUTA GLYPHOSATE HERBICIDES KAMA ROUND UP, PULIZIA HUKO PEMBENI MWA SHAMBA KATIKA MANYASI, ANGALAU MITA 2 HADI 3 KUTOKA KATIKA TUTA/SHAMBA KUWE FREE FROM WEEDS (MAGUGU), MAGUGU KUWA JIRANI NA SHAMBA NI CHANZO CHA MAZALIA YA WADUDU NA MAGONJWA, INGEKUWA NI SHAMBA LAKO LA KUDUMU TUNGEWEKA LIVE BARRIER STRONG, KAMA ELEPHANT GRASSES,AU MTAMA AMBAO UNGEKUWE VERY COMPACTED IN SPACE. ILI WADUDU WAKIJA WAISHIE HAPO WASAFISHE MIDOMO YAO, NA WENGINE WANGEKULA HAPO KATIKA LIVE BARRIER MPAKA WANGESHIBA HATA WASINGEINGIA SHAMBANI. SO UNAKUWA SALAMA.
Noted mkuu. Nimeshazinunua nilitaka nizitumie baadae ila ngoja zifanye hiyo kazi. Nashukuru kwa moyo usiochoka kunipatia elimu hii ambayo vyuo vichache vinaitoa.. Thanx sana bro
Dah.. Hapo kazi itakuwepo. Anyway ngoja tuone tutapambanaje. Nashukuru kakaEffect yake ni kuwa Canopy ikiwa kubwa sana zitakutana katikatika na ufanyaji usafi au upigaji dawa utakuwa mgumu kidogo kuna zingine zitakatika wakati mtu atakapokuwa anapita aiza kupiga dawa, au kuweka mbolea etc
hii ndio spirit chayowa, umepata elimu ukaingia shamba fastaKazi yangu hapa shamba.. Dah sijui nimepatia hii kazi ila ndio kukomaa kiakili ya kilimo. Mkuu kilimo nipe maoni mkuu. Leo namalizia kazi hapa. Nimejaribu kuweka mistari miwili katika tuta moja.
mbona kwenye vitunguu bei inakua na variation kubwa hivyo, tanga ni 90,000 halafu kariakoo ni 240,000? na umbali kutoka tanga na dar wala sio mbali kiasi hicho, au ndio wa tz tumeshindwa kuleta ufanisi kwenye uchumi?UPDATES
====================================
Bei za Nyanya na Kitunguu toka Masoko mbalimbali 2/02/2016
1. Nyanya
-Lushoto-Tanga, Debe 1 la 17 Kg tsh 13,000
-Arusha,Tenga 1 la 40 Kgs tsh 30,000
-Kariakoo, Tenga 1 la 40Kgs tsh 35000
-Morogoro, Tenga 1 la 40 Kgs tsh 50,000
-Mwanjelwa Mbeya, Tenga 1 la 35 Kgs tsh22,000
-Dodoma-Tenga la 60 Kgs tsh 60,000
2. Vitunguu
-Kariakoo, gunia 1 kilo 120=tsh240,000
-LushotoTanga, gunia 1 Kilo 120=tsh90,000
-Arusha, gunia 1 kilo 120=tsh100,000
-Makambako, gunia 1 Kilo 120=tsh140,000
-Morogoro, gunia 1 kilo 120=tsh 160,000
-Mwanjelwa Mbeya, gunia 1 kilo 120=tsh 148,000
NB: Bei hizi zinatoka vyanzo mbalimbali, na huwa zinabadilika muda wowote, ni wajibu wako kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi yoyote ya kuuza/Kununua mzigo wako.
=============================================
mbona kwenye vitunguu bei inakua na variation kubwa hivyo, tanga ni 90,000 halafu kariakoo ni 240,000? na umbali kutoka tanga na dar wala sio mbali kiasi hicho, au ndio wa tz tumeshindwa kuleta ufanisi kwenye uchumi?
Mkuu maarifa habari za siku nyingi. Nahitaj kujua aina gani ya nyanya inayofaa kwa kilimo cha greenhouse kwa hali ya hewa ya Dar es salaam.UTOFAUTI WA MBEGU HYBRID Utofauti upo kwa sababu wanaobreed hizo mbegu ni watu tofauti na wanakuwa na standard zao tofauti za accuracy/Purity. Mbegu bora kuliko zote ni ile itakayokupa mavuno mengi ya kukuridhisha wewe, Sheria haziniruhusu kusema hii ni bora zaidi maana hizi ni biashara za watu, ila ktika hybrid ziko za makampuni mengi nadhani fika madukani then check ile iliyokuwa recommended kukupa mavuno mengi kwa eneo fulani, Zipo pia nyanya unazoweza vuna kwa muda mrefu zaidi, kila kampuni liko nazo. Hybrid mbegu ni nyingi sana.
KUSTAHIMILI MAGONJWA-Ni kweli kila breeder anajitahidi kuimprove baadhi ya vitu, mfano ziko zinazohimili ukame, ziko zinazohimili magonjwa ya ukungu etc.. ISIPOKUWA LAZIMA UCHUKUE TAHADHARI, NA UJUE KUWA HIZI NI BIASHARA, SASA USIJE UKASHINDWA KUANDAA SHAMBA LAKO VIZURI, AU ULISHAAMBIWA MAPEMA HILO SHAMBA LIKO NA NEMATODES WA KUTOSHA AU FUSARIUM WILT KILA MWAKA INAPIGA HAPO, THEN WEWE KWA KUWA UMEAMBIWA NA MUUAZAJI HII NI HYBRID HAIDHURIKI, UKAAMINI 100% UNAWEZA KUANGAMIA. CHUKUA TAHADHARI ZOTE UNAPOAANDA SHAMBA REGARDLESS UTATUMIA HYBRID AU OPV.
UKIKAMUA MBEGU. Mkuu kama umepita pita shule kidogo bilashaka unajua topic Inaiitwa Genetics, Kuna mambo ya kucross cros humo, unapata First generation, Second Generation, Back cross, test Cross-Ukiwa na time unaweza riverse kidogo hiyo Topic uone mfano ukichukua kizazi cha kwanza let say Tt, Tt Tt Tt, ukross na parents wao mmoja parent ni TT na mwingine ni tt nini kitatokea???, etc. Sasa kwa kifupi tu ukichukua hybrid mbegu ukikamua na kuipanda tena huwezi kupata mavuno sawa kama ya awali kwa wingi wala kwa ubora.
ASANTE
Shukrani mkuu swali la nyongeza nahitaj kupuliza dawa kwenye greenhouse ili kuondoa aina yoyote ya contamination nitumie aina ipi ya dawa? ingekuwa vyema kama utanitajia jina la dawa na mahala inapopatikana.Kwa Green House best mbegu (kwa maoni yangu) List ni hii 1. Anna F1 2. Colazon 3. Eva 3. Gallilea 4.Eden 5. Monica 6. Shanty
etc......
Nashukuru mkuu. Mbolea ya Yara miller winner 15-9-20 itafaa kukuzia kabla ya nitrable? Na je nikitaka kupuliza booster ni lazma niwe nimemwagilia maji kwanzaEndela kuobserve hiyo effect ya hao vipepeo maana inaweza kuwa source ya Leaf Miner (Chora chora wa majani)
All the best Mkuu,Na kuwa makini kwa kila hatua maana umeinvest pesa zako
Nashukuru mkuu. Mbolea ya Yara miller winner 15-9-20 itafaa kukuzia kabla ya nitrable? Na je nikitaka kupuliza booster ni lazma niwe nimemwagilia maji kwanza
Agricultural lime Ina content gani na ninaweza kuipata wapi?TAFUTA DAWA INAITWA NIMBECIDINE INATENGENZWA NA KAMPUNI YA OSHO-SIJUI OFIS ZAO . INASAIDIA KUONDOA NEMATODES ETC. TAFUTA PIA AGRICULTURE LIME KUSAIDIA KUONDOA MATATIZO YA MNYAUKO (WILT).
Sawa sawa mkuuCHECK UREA KWANZA KWA UKUAJI WA HARAKA, UKIKOSA TUMIA HIYO YARA MILLER AU NPK YOYOTE YENYE N-KUBWA (NAMBA KUBWA YA KWANZA IWE KUBWA KULIKO ZOTE). WAKATI WA KUWEKA DAWA AU MBOLEA AU CHOCHOTE CHA KUPULIZA DHIDI YA MMEA NI MUHIMU UDONGO UKAWA UMELOWA.
Nashukuru mkuuKWA JINSI INAVYOELEWA NA CONTENT ZAKE HIYO NI BOOSTER -STARTER (YA MAJANI) - (MAANA KATIKA N..PK IKO NA (72; 45: 30 g/l). BINAFSI sina ushuhuda nayo JUU HASA YA UFANYAJI KAZI WAKE hivyo siwezi sema chochote juu ya ubora wake
SUPER GRO ORGANIC FERTILIZER
Super Gro is a very wonderful natural liquid fertilizer which has now been brought to your doorstep to ensure the enhancement of your crops and agricultural productivity both in quality and quantity. It is a natural fertilizer that will increase your agricultural yield more than three times of what you do obtain from that of synthetic or chemical fertilizer that you are used to.
Super Gro is a product of GNLD, a company that specializes in natural and nutritional health products for human and plants. It has been a wonderful experience for the users of these fantastic products.
Super Gro is a 100% organic liquid fertilizer, which is made from poultry droppings and sea bird guano. Being made from organic matter with absolutely no chemicals added to it, it is 100% safe to use on any vegetables and of course the rest of your garden. Super Gro can be applied to any plant, tree, vegetable and even grass that require fertilization.
Super Gro was started about fifteen years ago on the West Coast of South Africa. Its main ingredient being seabird guano gets collected from eight different sites along the West Coast under supervision of the South African Nature Conservation, to ensure that all of the birds and their nesting sites stay protected and minimal disturbance takes place. After the guano is dried
Tests done on this product reflect the following composition of macro and micro elements;
• Nitrogen (N) 72g per litre (Macro)
• Phosphorus (P) 45g per litre (Macro)
• Potassium (K) 30g per litre (Macro)
• Sulphur (S) 15g per litre (Macro)
• Calcium (CA) 9g per litre (Macro)
• Magnesium (MG) 7g per litre (Macro)
• Iron (FE) 5mg per litre (Micro)
• Iodine (IoD) 3mg per litre (Micro)
• Marine Salt (MS) 1mg per litre (Micro)
• Zinc (Zn) 1mg per litre (Micro)
The beauty of Super Gro is that it is devoid of chemicals or synthetic substances which have made it to be safer for human health because it has no chemical residue that could remain in the agriculture produce which could put human life in grave jeopardy in the process of consumption. It does not also have any chemical substance therein that could subsequently destroy the soil. Super Gro has numerous advantages over the synthetic or chemical fertilizer.
Super Gro, as the name suggests, is the most wonderful natural liquid fertilizer ever produced for agro industry. It is meant for the purpose of growing crops and plants in order to add much value to them. This is to ensure that agricultural productivity is enhanced both in quality and in quantity. Super Gro Liquid Fertilizer being natural in essence means that it is devoid of chemical input which makes it different from the conventional chemical fertilizer that we all know. The advantages of Super Gro Natural Liquid Fertilizer over the Chemical Fertilizer are numerous and very great.
Because crops and plants depend so much on water, Super Gro is meant to improve the quality and quantity of water as required by these crops and plants for wonderful growth and production by adding the essential nutrients they require for that purpose. No wonder, Super Gro helps you make the most use of water: water, one of the basic fundamentals of life itself. Water, good quality water, is an issue of such importance that governments, states, provinces and major suburban areas around the world have created agencies to ensure its long-term availability.
As our global population grows, water will become an even greater concern to everyone because of its importance in our daily life most especially for the production of food. Bearing this in mind, it therefore, becomes much essential that we all should also be much concerned about improving the quantity and quality of water to ensure its most efficient use. Drought or otherwise, we should always try to get the most efficient use from water. This is one of the reasons why agricultural industry must not underestimate the constant use of this wonderful product - Super Gro.
Functions of Super Gro
GNLD's Super Gro acts as both an adjuvant and a surfactant, by reducing the surface tension of water in addition to acting as a wetting agent. Adjuvants are agents designed to aid in substances' action. GNLD Super Gro helps make water "wetter" by reducing its surface tension. It may seem contradictory, but water does not always "wet" very well except when Super Gro is added. Often it tends to bead up on the waxy surfaces of plants, crops, lawns and gardens, and before it has a chance to penetrate, it runs off or evaporates. GNLD's Super Gro helps conserve water. It tends to increase the rate at which water penetrates common soils.
Surfactants are wetting agents that are used in several ways:
As emulsifiers to disperse oils.
As wetting agents, to lower surface tension.
As dispersing agents, to reduce adhesion between particles of chemicals, so
they will spread and remain in solution longer.
Features of Super Gro
Super Gro is a multi-purpose surfactant.
It makes water "wetter".
Specifically formulated to be effective, economical and versatile.
Easy to use.
Long shelf life.
Tolerates extreme temperature variations.
Safe to use indoors and outdoors.
Non-toxic, non-caustic and non-flammable.
It improves the absorption of nutrients.
Advantages of Using Super Gro
Because Super Gro makes water wetter, it increases soil penetration and retention.
Because Super Gro makes water to be wetter, it helps to retain the water under the soil much longer which ensures that the soil continues to be wet even in dry warm weather, which also makes the crops/plants maintain their evergreen outlook and growth during dry season (drought).
Biodegradable - leaves no harmful residue on the products of the crops and plants.
Super Gro being natural does not have chemicals that could leave any harmful residue on the soil, unlike other types of fertilizers…
It does not adversely alter soil pH.
Reduces watering time, by reducing run-off and evaporation.
It increases plant and crop yields - increased maximum production is assured.
It is highly concentrated and, therefore, very economical - a little quantity goes a very long way.
It is user-friendly, environment-friendly and nature-friendly.
It acts as a sticker on plants because it has internal ability to absorb solar energy and gum it to the plant for efficient and maximum production.
The crops and plants will have greener and healthier outlook at all times and at any
weather.
It enables farmers save a lot of time - a minimum portion of land produces maximum output (maximum yield).
It enables farmers save a lot of money - a minimum input produces maximum output (maximum yield).
It ensures uniformity of crops/plants and their seeds/products.
The Use of Super Gro for Fruits & Crops
It is quite suitable for the cultivation of crops like:
Vegetables, Pepper, Onions, Tomatoes, Beans, Maize, Soya-beans, Groundnut, Potatoes, Cassava, Yam, Cabbage, Carrot, Coco-yam, Okro, Banana, Plantain, Wheat, Rice, Millet, Water-Melon and a host of other crops.
Application/Mixture:
Mix as follows:
1ml of Super Gro with 1 litre of clear water.
5ml of Super Gro with 5 litres of clear water.
100ml of Super Gro with 100 litres of clear water
And so on.
Then agitate gently and spray on the leaves and stem/base of the crops/plants. Apply the same thing every 2 weeks, or every 3 week or once every month as you may desire. It is very important that you do this before the crops/plants start to sprout flowers.
The Use of Super Gro for Plants, Trees and Cash Crops
It is also very suitable for the cultivation of the following Cash Crops:
Cocoa, Cashew, Mango, Orange, Oil Palm, Pawpaw, Kola-nut, Pineapple, Rubber and a host of other plants and cash crops.
Application/Mixture:
Mix as follows:
2ml of Super Gro with 1 litre of clear water.
10ml of Super Gro with 5 litres of clear water
200ml of Super Gro with 100 litres of clear water
And so on.
Then agitate gently and spray on the leaves and stem/base of the crops/plants. Apply the same thing every 2 weeks, or every 3 week or once every month as you may desire. It is very important that you do this before the crops/plants start to sprout flowers.
Important Facts and Notes
Plant your crops in ridges or lines so that you have narrow site to walk through for easy spraying.
If you use chemicals (herbicides) to weed, allow the effect of the chemical to wear out before applying Super Gro. Spray Super Gro after four days of weeding with herbicide.
Do not use the same sprayer for weeding chemicals (herbicides) and Super Gro. You must get a separate sprayer for the Super Gro. This is to ensure that the residue of the weeding chemical left in the sprayer-can does not neutralize the substance and effectiveness of the Super Gro.
If you use cutlass to weed, you should pack the weeds before you spray Super Gro the next day to ensure the Super Gro properly enters the soil and to avoid waste of the product.
For cash crops like cocoa, rubber, kola-nut, orange, etc, you need to use boom sprayer because you need more pressure to get the Super Gro into the crops and plants. If you don't have boom sprayer, you can use watering can, but make sure the mouth of the can is not too wide so that it will not waste your product. But try as much as possible to get a boom sprayer. It is more economical and faster to spray.
This product from nature does not affect your skin because it is non-caustic and non-toxic.
The growth and yield from Super Gro is SUPER and FANTASTIC.
The Use of Super Gro for Fish Farming
Concrete or Mud Ponds are most preferable
Application/Mixture
Fill the ponds with clear water measured in liters and add 1ml of Super Gro per 10 liters of water and agitate gently. Then leave this treated water for 7 to
![]()