Je, unataka upendwe na mwanamke? Mpe hela

Faizafox mbona unajichanganya..nimeuliza upo kwenye ndoa..wewe unasema ni hataree mnaoana ndugu kwa ndugu. Hii ni hataree ndio maana naona post zako nyingi zinaonesha una msongo wa mawazo

unajua Mwanamke wa Kihindi anamuoa Mwanaume? hata huko Musoma Mwanamke anamuoa mwanamke ? akimchoka anatagita mwingine
yy Faiza kakwambia wao wameoana jua maana yake kwanza na wala sio kwa ndugu
Si mjane na sijaolewa. Kwetu kuolewa mwiko.Tunaoana tu.
ila yupo ktk Ndoa
 
Hahaaa subirini mtakavyochambwa sasa, mi nakimbia zangu simo kabisaaaa!!

Tuchambwe au tupewe hela? Kuchamba tutajichamba wenyewe sio kazi yao hiyo, kazi ya wamaume ni kutupatia hela, tena wtupatie hela, nasema hivi ni lazima watupatie hela.
 
mito unaona sasa....
Mkaanga sumu lazma ujue mimi na wew ni ndugu...hupaswi kunifanyia mdomo hivyo..

Hahaa ndugu yangu umenikumbusha msemo wa rafiki yangu mmoja (wakike) alisema 'man can satisfy me in bed even though he have 3inches of d**k when a lot of money involved'

Undugu wetu ni muhimu sana hauwezi kuisha
 
Last edited by a moderator:

Halafu tabia ya kutoa hela wanagawa nusu wanarudisha mfukoni HIYO TABIA NASEMA IFE
 
Tena tabia mbaya haijapata kuonekana, unarudisha zingine ili umpelekee nani? Watoe zote akitaka zake arudi atm achukue alaaaaaa!
 
Hahaaa nawaona wapenda dezo wameishaanza kushangaa shangaa, soon watatoa mapovu, teh teh
 
Tuchambwe au tupewe hela? Kuchamba tutajichamba wenyewe sio kazi yao hiyo, kazi ya wamaume ni kutupatia hela, tena wtupatie hela, nasema hivi ni lazima watupatie hela.

Duh, basi haya
 
Halafu tabia ya kutoa hela wanagawa nusu wanarudisha mfukoni HIYO TABIA NASEMA IFE

Tena tabia mbaya haijapata kuonekana, unarudisha zingine ili umpelekee nani? Watoe zote akitaka zake arudi atm achukue alaaaaaa!

Akyamama sina dada hapa, yaaani kukitokea sherehe walah nawagawa buuureee!! Heri nibaki na dada mmoja Heaven Sent maana yeye hana tabia kama hizi, loh!
 
Last edited by a moderator:
Hahaa ndugu yangu umenikumbusha msemo wa rafiki yangu mmoja (wakike) alisema 'man can satisfy me in bed even though he have 3inches of d**k when a lot of money involved'

Undugu wetu ni muhimu sana hauwezi kuisha

Undugu hoyeeee...
hata mimi mkuu pesa ni kila kitu
 
Akyamama sina dada hapa, yaaani kukitokea sherehe walah nawagawa buuureee!! Heri nibaki na dada mmoja Heaven Sent maana yeye hana tabia kama hizi, loh!

Khaaaah hebu acheni kunionea bwana, yaani mume wangu Kaboom kishanunua na gift paper hapa natafuta pedeshee akanitoe zawadi, wewe nawe kaka yangu unataka kunigawa, tafadhali bwana damu nzito ati!
 
Last edited by a moderator:
Tena tabia mbaya haijapata kuonekana, unarudisha zingine ili umpelekee nani? Watoe zote akitaka zake arudi atm achukue alaaaaaa!

Wanawake hoyeeeeee...team no free p hoyeeeee
 
We siku ile si ulimdanganya kiwatengu? Sijui ulikuwa unammendea nani?

Si unaju a ukiwa kwenye kipindi lazma uwe na akili watu wasikushambulie...
Ila ukweli ndio huo...
 
Last edited by a moderator:
hata mimi mkuu pesa ni kila kitu

Khaaaah hebu acheni kunionea bwana, yaani mume wangu Kaboom kishanunua na gift paper hapa natafuta pedeshee akanitoe zawadi, wewe nawe kaka yangu unataka kunigawa, tafadhali bwana damu nzito ati!

Sista atoto nakupa sharti moja tu kama unataka nisikugawe!!
Sharti lenyewe ni hili: kanusha alichoandika hapo cute b, ahaaaa masharti mengine bana mtu anaweza kuchagua kutengwa na ndg akyanani. Hahaaa sipati picha hapo unavyoaangaika kudanganya nafsi yako, loh!
 
Naanzaje kukanusha ukweli? Uongo ni dhambi my kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…