Je, unavyofikiria mafanikio ni tabia?

Je, unavyofikiria mafanikio ni tabia?

Nasri39

Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
15
Reaction score
19
Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷‍♂️ Eti ni kweli?
Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa
👩🏿‍🦲👩🏿‍🦲 Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa.
✍🏿 Hivi wajua mafanikio ni Tabia? 🤭🤭 😁😁😁
Ndio kuna tabia lazima uzibadili ndo mafanikio ama malengo yako yatatimia
🙆‍♂️🙆‍♂️ Kumbee ndo maana nilijiwekea niwe pale alafu sikufnikiwa TABIA ndo iiiniponza.
🎤 Ukweli ni kwamba Hata uwe ume andika malengo kiasi gani, hata uwe wapi hata uufundishe ubongo kuwa bilionea mara 1000000
Huwezi kufikia mafanikio au malengo mpka ubadili tabia
Nakupa mfano kamsome MO Tabia zke:
Mfnao Mo tabia zake

1. Huwa ana amka saa 10. Usk
2. Huwa ana lala saa 5
3. Huwa anasoma kitabu kwa siku.
4. Huwa ana andika malengo.
5. Anaishi kwa bajeti.
6 Ana nidhamu ya fedha.
7. Sio muoga wa kuwekeza.
8. Huwa anajituma.
9. Anapo taka kuwekeza hasemi hana mtaji.
10. Huwezi skia anasema Fulani ndo kanikwamish.
11. Akiona jambo la muhimu analianza Leo.
12. Huwa asubiri awe na kikubwa ndo aanze.
13. Huwa nakagau malengo kwa kila siku na kuyafanyia tathimini.

👆🏽🤷‍♂️ Hizo ni baadhi ya tabia za MO naye amejifunza kutoka kwa Dangote . hata bila gates naye ana tabia hizo. Za MO na kuzidi.
✍🏿✍🏿 Badili tabia zako ndo utafikia malengo yako. Kawasome vyema walio fanikiwa ukaige tabia zao.
 
Sawa boss ..ila mafanikio yana tafrisi nyingi sana. Wewe unadhani kufanikiwa ni kuwa na pesa nyingi?

Labda nimekuelewa vibaya ila hapo kwenye Tabia nimekusoma.
 
Mtoa post unazani hakuna watu wanao amka mda huo. .swala la kumilik fedha nying kwa africa lina siri nzto hakuna atayekwambia aliwezaje kuwa millionaire...
 
Mafanikio wakati mwingi ni qadar za Mungu, mana kuna watu wanafight sana but hawatoboi but kuna wengine wakigusa tu dili fulani, basi mambo yanawanyookea pesa zinawatembelea kama wanazichuma vile kwny mti..
 
Umeeleweka sana mkuu, ila naomba kuungana na RO7 ZA MGOS .
Mafanikio, hasa ya kifedha yana siri nyingi sana nje ya hzo tabia.............
Hzo ni theoretical aspects ambazo kila aliyefanikiwa atakuja nazo, bt mali kama mali, ina siri sana.
Ref. Kwa marehamu Genius GINIMBI...... Angalia tabia zake utagundua alikuwa ni tajiri wa tofauti sana na matajiri wengine.
Imagine sherehe ya birthday yake ya siku moja alitumia zaid ya 380mil, af fuatilia lifestyle yake, utaona jambo, bt bado alikuwa n mtu anayekuja kwa kasi sana kiuchumi.
So ishu ya mafanikio ni ishu isiyokuwa na formula. Ila kuna namna.
 
Mafanikio wakati mwingi ni qadar za Mungu, mana kuna watu wanafight sana but hawatoboi but kuna wengine wakigusa tu dili fulani, basi mambo yanawanyookea pesa zinawatembelea kama wanazichuma vile kwny mti..
Ni kweli mkuu uko sahihi ila siku zote mwonyeshe m.mungu sababu yako nae atakubeba asipo kubeba basi anakupima imani yako sasa wew endelea kufight one day m.mungu atakufungulia ila ukikata tamaa ukasema mafanikio ni ya baadh ya watu kwa m.mungu hutofanikiwa na unafeli mtihani wa m.mungu
 
Mafanikio hayana kanuni kuamka saa 10 asubuh akukufany ufanikiwe mo anaamka saa kumi Ili kuwah kuptia shughul zake nyingi,. Sasa wewe huna Kazi yoyote uamke saa 10 asubuh si utaonkana mzurulaji na mwzi tu kikawaida hata Wazazi Wako hawatokuamin kama wewe sio mwzi

Aisee mafanikio ni mipango safi na endelevu na kutumia pesa nyingi haimaanish huwez kufanikiwa kikubwa ni kuangalia kipato chako

Full stop:
 
Back
Top Bottom