Waswahili husema : Tabia hujengwaπ€·ββοΈ Eti ni kweli?
Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa
π©πΏβπ¦²π©πΏβ𦲠Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa.
βπΏ Hivi wajua mafanikio ni Tabia? π€π€ πππ
Ndio kuna tabia lazima uzibadili ndo mafanikio ama malengo yako yatatimia
πββοΈπββοΈ Kumbee ndo maana nilijiwekea niwe pale alafu sikufnikiwa TABIA ndo iiiniponza.
π€ Ukweli ni kwamba Hata uwe ume andika malengo kiasi gani, hata uwe wapi hata uufundishe ubongo kuwa bilionea mara 1000000
Huwezi kufikia mafanikio au malengo mpka ubadili tabia
Nakupa mfano kamsome MO Tabia zke:
Mfnao Mo tabia zake
1. Huwa ana amka saa 10. Usk
2. Huwa ana lala saa 5
3. Huwa anasoma kitabu kwa siku.
4. Huwa ana andika malengo.
5. Anaishi kwa bajeti.
6 Ana nidhamu ya fedha.
7. Sio muoga wa kuwekeza.
8. Huwa anajituma.
9. Anapo taka kuwekeza hasemi hana mtaji.
10. Huwezi skia anasema Fulani ndo kanikwamish.
11. Akiona jambo la muhimu analianza Leo.
12. Huwa asubiri awe na kikubwa ndo aanze.
13. Huwa nakagau malengo kwa kila siku na kuyafanyia tathimini.
ππ½π€·ββοΈ Hizo ni baadhi ya tabia za MO naye amejifunza kutoka kwa Dangote . hata bila gates naye ana tabia hizo. Za MO na kuzidi.
βπΏβπΏ Badili tabia zako ndo utafikia malengo yako. Kawasome vyema walio fanikiwa ukaige tabia zao.