comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kwanza kabisa, hii ishu imekuzwa, wanaume wengi nguvu za kiume tunazo, tatizo ni stress za maisha, ili kua stress free kabla ya kuchakata masuala Fanya hivi 👇👇
Chukua maji ya baridi unywe Lita Moja, baada ya hapo kunywa 🍺, hasahasa safarilager ndogo 2 au 3, wakat unakunywa unakua unatafuna na korosho.
Oya, ukienda kwenye mtanange lazima inuke chuma