Je, unawahi kufika kileleni?? Suluhisho hilo hapo chini 👇

Je, unawahi kufika kileleni?? Suluhisho hilo hapo chini 👇

Siku ukioa utaacha huu ujinga!

Kuhangaika kote huko ili umkojoze mwanamke?

Mimi mke wangu nilitambua sehemu ya kumgusa.... nakojoa mara 1 anakojoa mara tatu!....show ya dk 15 tu-30 tu Kazi imeisha!
NILISHAOA
 
Bora upige nusu saa kwa demu unayemuamini au ambaye amelowa vzr 😂
Ukipiga hvy kwa demu mkavu, ah kudadeki ukimwi huu hapa mlangoni 😂
Washamba wanajaa kichwa kichwa ,kutaka sifa za kijinga
 
Kwanza kabisa, hii ishu imekuzwa, wanaume wengi nguvu za kiume tunazo, tatizo ni stress za maisha, ili kua stress free kabla ya kuchakata masuala Fanya hivi 👇👇

Chukua maji ya baridi unywe Lita Moja, baada ya hapo kunywa 🍺, hasahasa safarilager ndogo 2 au 3, wakat unakunywa unakua unatafuna na korosho.

Oya, ukienda kwenye mtanange lazima inuke chuma
Maendeleo Tanzania labda mtambike!
 
Mimi nae siwezijichosha, ni one minute chaliii nakoroma zangu
 
Mwanaume kuwahi kumwaga sio tatizo. Kiafya kuanzia dakika mbili tu mwanaume anaweza kumwaga. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni kama wakati wa tendo hausimamishi uume au unasimama kwa ulegevu. Hao wenye hayo matangazo ya dawa za nguvu za kiume wanawapa taarifa pototu ili wapige hela.
 
Back
Top Bottom