comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Umekosea njia MzeeNishafata hatua zote hizo mama lao naomba nije kutest hiyo theory yako kwako kama ni kwel
Ndio umekufanya Hadi ukazaliwa,wewe ni baoUpuuzi Mtupu
Au sioMnataka kupiga mzigo kila siku kama una engine ya Land Cruiser 1hz 4.2 diesel...
Upo umri unaweza kufanya hivyo umri unavyoenda nenda na step tu fanya mazoezi kula chakula pamoja na matunda bila kusahau mboga mboga..
Niko nai apply hapa, kipindi cha kwanza dk ya 30 Bado sijapata bao la kuongozaHao waganga uchwara walio kufundisha wamekupiga
ππππππ Jipe moyoWala tatizo sio stress, tukubali tukatae, mwanaume rijali anamwaga ndani ya dkk 5 na sio zaidi ya dkk 10
Bro anadeka sana huyu
Siku ukioa utaacha huu ujinga!Kwanza kabisa, hii ishu imekuzwa, wanaume wengi nguvu za kiume tunazo, tatizo ni stress za maisha, ili kua stress free kabla ya kuchakata masuala Fanya hivi ππ
Chukua maji ya baridi unywe Lita Moja, baada ya hapo kunywa πΊ, hasahasa safarilager ndogo 2 au 3, wakat unakunywa unakua unatafuna na korosho.
Oya, ukienda kwenye mtanange lazima inuke chuma
Endelea kudanganywaππππππ Jipe moyo
Rudi manka Mzee ukatafute miziziEndelea kudanganywa
Kabisa , kuzidi sna ni kuuchimbua ukimwi tuWala tatizo sio stress, tukubali tukatae, mwanaume rijali anamwaga ndani ya dkk 5 mpaka 10