Je, unawaza ujiajiri? Pita hapa na itazame hii biashara kama itakufaa

Je, unawaza ujiajiri? Pita hapa na itazame hii biashara kama itakufaa

Kaka nadhana mleta uzi alienda mbali sana huko kwenye 3M mi nadhana inaweza kuwa hata chini ya M
Chini ya m ni kujipotezea muda. Embu nipe hizi gharama 1. Full desktop 2. Hard disk 4tb 3. Meza, viti, na sound system
 
Kweli mkuu ili uwe katika position nzuri ya kufanya hii biashara andaa location na vifaa vinavyohitajika.
 
We hujui ku burn Nyimbo ni haram au CD/DVD
Pili library izo au mnaita Studio zinazo oparate humo ni CD na DVD fake
Mkuu unaelewa maana ya fake? Je studio zinaburniwa nyimbo tuu? VP vingine kama movie? Programs, games?
 
Mtoa mada nakupongeza ...
Wengi wetu hawako wazi kuweka mawazo hayo wazi ...

Pili anayesema hiyo kazi ni haramu .. simwelewi ... mambo yote yanayokatazwa ndo yana faida.. kinachotakiwa ni kutengeneza mazingira ya kuyaharalisha.
Ni kweli mkuu sasa hapa ni kupeana njia sahihi za kufanya hii kazi sio kukatishana tamaa. Shukran sana mkuu
 
3000,000-455,500=2,544,500 BALANCE REMAIN......COST MINIMIZATION....
Hakuna kitu kama hiki. Hapo ni kujidanganya mkuu. Hata nikikupa iyo hela hufanyi chochote cha maana kuhusiana na hii ofisi. Ili kuhakikisha uliza hayo mahitaji niliyoorodhesha ulete mrejesho
 
movie naweza kupata wapi wakuu, zilizotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.
"respect kwake captain derick gaspal mukandara....rufufuuu"
Unataka za DJ yupi mkuu? Single au season?
 
Ukienda kulipia Basata wala hawana shida
Huwa tunalipa basata kama unadili na bongo movie. Kama haudili na bongo movie hata hawahusiki. Unalipa halmashauri na tra tuu. Ila unapitia kwa afisa utamaduni
 
Kweli mkuu na hii ni changamoto kubwa ninayoipitia.
Me kila kitu ninacho,plus vitu vya stationery hadi office tayari but maybe mazingira sio rafiki,ila mfanyakazi mwaminifu ndo changamoto
 
Me kila kitu ninacho,plus vitu vya stationery hadi office tayari but maybe mazingira sio rafiki,ila mfanyakazi mwaminifu ndo changamoto
Kama ukikwama kupata MTU kabisa bora ukodishe vitu uwe unaletewa hela kwa wiki
 
Back
Top Bottom