Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu sasa hapa ni kupeana njia sahihi za kufanya hii kazi sio kukatishana tamaa. Shukran sana mkuuMtoa mada nakupongeza ...
Wengi wetu hawako wazi kuweka mawazo hayo wazi ...
Pili anayesema hiyo kazi ni haramu .. simwelewi ... mambo yote yanayokatazwa ndo yana faida.. kinachotakiwa ni kutengeneza mazingira ya kuyaharalisha.
Hakuna kitu kama hiki. Hapo ni kujidanganya mkuu. Hata nikikupa iyo hela hufanyi chochote cha maana kuhusiana na hii ofisi. Ili kuhakikisha uliza hayo mahitaji niliyoorodhesha ulete mrejesho3000,000-455,500=2,544,500 BALANCE REMAIN......COST MINIMIZATION....
Nipo kigamboni Mkuu nina movies za kutosha series na single muvi tuwasiliane 0679413886movie naweza kupata wapi wakuu, zilizotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili.
"respect kwake captain derick gaspal mukandara....rufufuuu"
Me kila kitu ninacho,plus vitu vya stationery hadi office tayari but maybe mazingira sio rafiki,ila mfanyakazi mwaminifu ndo changamotoKweli mkuu na hii ni changamoto kubwa ninayoipitia.
Me pia I need thisTB 4 ni sh ngap wakuu
Thanks mkuu,I know how to deal with itUpo wapi mkuu? Kama DSM itakuwa cheap ila uwe makini. Wajanja wanabambika madisk yenye bad sector nyingi.
Kukodisha hapo inakuaje mkuu??Kama ukikwama kupata MTU kabisa bora ukodishe vitu uwe unaletewa hela kwa wiki