Je, unaweza kuacha mshahara wa milioni 7.8 na kuwa Mkuu wa Wilaya anayelipwa milioni 3 kwa mwezi?

Hiko chama cha walimu ndo kinalipa iyo Milion 7.8 ? Endeleeni kujidanganya na kuwasikiliza malisa na ole Mushi wanamsagai kunguni jamaa kwa unoko wao ...Ivi walimu walipwe chini ya milion then huyo mil 7. 8


Kitu kikubwa kinakuja mtakuja kuelewa tu achaneni na waropokaji malisa sijui Ole Mushi .
 
Sasa we cheo cha ukatibu unakiona cha kizembe tena kwenye taasisi kubwa hiyo ya chawa wa mama.
 
Sasa we cheo cha ukatibu unakiona cha kizembe tena kwenye taasisi kubwa hiyo ya chawa wa mama.
Tatizo huyo jamaa Kuna kitu anatafuta kwa sababu nilisikia tetesi kutoka majuu ivyo vikao na migogoro mingi chanzo ni yeye na wanataka kumtema iyo nafasi kweny chama labda anafanya wizi.

Sasa Raisi naona anataka abaki kweny system yeye anakataa ngoja tuone ataendelea vip kweny hiko chama .
 
Huyu ndio aliokwamisha vishkwambi visiwafikie walengwa nini
 
Huyu ndio aliokwamisha vishkwambi visiwafikie walengwa nini
🤣🤣Walikuwa na kikao huko Tanga ana kesi nyomi muache ...Na izi mada za kusema anakunja mil 7.8 wakina ole Mushi kuweka publicly unafikria walimu kama wachangiaji wakiu na wanaishia kuvaa T-shirt oversize huoni watamzingua ... Michango yote wanatia kapuni.

Hao waropokaji ndo wanamuharibia huyu jamaa hakuna mshahara huo sema anaiba zaidi ya hyo pesa kupitia dili kibao .
 
ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Hivi ni kweli wamekataa
Kitu kibaya afu wote 3
Hiki chama mhhhh
 
Kila MTU ana Uhuru wa kuchagua lakini Uhuru huo haupo kama unavyotamkwa,kuna watu wanatolewaga huko UN,Bank ya dunia na baadhi kwenye international organization wakiwa na mishahara mikubwa na kuja kupewa majukumu ya mishahara midogo na inawalazima kufanya kwa kuwa ni presidential appointee sembuse U DC ndio ukatae??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…