Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Aiseee maticha wamekataa kuweka CV ya u DC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungejua DC analingana na DED na wakuu wa Idara mshahara na marupurupu [emoji3]Mimi ningekuwa DC tu.
Kwanza marupurupu.
Ninaweza kukopa zaidi ya million 100 na kufanya miradi.
Ntaendeshwa na gari na kuwa bosi wa wilaya nzima.
Mwisho nitakuwa chawa wa mama hadi anarudishe Tena madarakani niendelee kula mema ya ya nchi.
Hawana vyanzo vya mapato kama DEDHivi wakuu wa wilaya hata kama wanalipwa 3M si wana mianya mingi ya kupiga pesa ? Au huko nako kumebana wadau ?
Aseee kumbe sisi wasakatonge tunaona umeulamba ,kumbe mtu ukiwa na shughuli zako za maana mjini ni kazi ya kawaida !!!Mianya gani zaidi ya kuomba ?Rushwa apewe ili Akufanyie nini?DC anaishiwa mpaka Mafuta ya gari anaomba kwa DED
Kwa hiyo hawa wadau wangelambishwa uDED tusingekua hapa kuwashangaa mkuu 😀😀Hawana vyanzo vya mapato kama DED
Subiri uone ikifika mkeka wa MaDED [emoji3][emoji3]Kwa hiyo hawa wadau wangelambishwa uDED tusingekua hapa kuwashangaa mkuu [emoji3][emoji3]
Wamenusa harufu ya kutemwa hapo baadaye. Kuwateua ilikuwa janja ya serikali kuwatoa kwenye vyeo kule CWT ili serikali ipandikize watu wao watakaokuwa wanachota mapesa ya CWT bila kuhojiwa. Afadhali wameshtuka mapema na kukataa uteuzi. Nawapongeza sana.ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Mbona yule DC aliyeteuliwa na Magufuli akakataa yupo hai mpaka leo? Mbona hawajamuua? Acha kutisha watu mkuu.Sasa unakataa uteuzi wa amiri jeshi mkuu? Unadhani ukikataa watakuacha vizuri? Siyo wote wanaoteuliwa huwa wanapenda, ni basi tu. Rais akishateua ndio kamaliza, kataa wakupelekee moto
Kwani lazima wakuue? Alichaguliwa wilaya gani? Kabla alikuwa nani na baada ya kukataa alibaki kuwa nani?Mbona yule DC aliyeteuliwa na Magufuli akakataa yupo hai mpaka leo? Mbona hawajamuua? Acha kutisha watu mkuu.
Sio lazima kuua kwa risasi kama walivyotaka kumuua Tundu Lissu ila wanaweza hata kukuwekea sumu kwenye chakula.Kwani lazima wakuue?
Ni kweli kabisa yule Oluchi naye alipewa teuzi hivyo hivyo akagoma, aisee alipotea mazima wala hasikiki tena..ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Mkuu wa wilaya anapiga wapi,?kama mafuta tu ya gari anamtegemea DEDUnakubali .maan utatafuta sehemu ya kupiga.
Mil 100 unaikopaje kwa kazi ya kuteuliwa?Mimi ningekuwa DC tu.
Kwanza marupurupu.
Ninaweza kukopa zaidi ya million 100 na kufanya miradi.
Ntaendeshwa na gari na kuwa bosi wa wilaya nzima.
Mwisho nitakuwa chawa wa mama hadi anarudishe Tena madarakani niendelee kula mema ya ya nchi.
Usimtie ubaya raisi. kukubali au kukataa uteuzi ni hiari, wapo wengi tu waliwahi kukataa huko nyuma na Wala haikua issue.Hao waliogoma nawaonea huruma. Mama lazima awaonyeshe nini maana ya mamlaka ya teuzi.
TusubiriUsimtie ubaya raisi. kukubali au kukataa uteuzi ni hiari, wapo wengi tu waliwahi kukataa huko nyuma na Wala haikua issue.
Raisi Samia hawezi kusema eti wafanyiziwe kisa tu wamekataa uteuzi. Haipo hivyo