Je, unaweza kuacha mshahara wa milioni 7.8 na kuwa Mkuu wa Wilaya anayelipwa milioni 3 kwa mwezi?

Mimi ningekuwa DC tu.

Kwanza marupurupu.

Ninaweza kukopa zaidi ya million 100 na kufanya miradi.

Ntaendeshwa na gari na kuwa bosi wa wilaya nzima.

Mwisho nitakuwa chawa wa mama hadi anarudishe Tena madarakani niendelee kula mema ya ya nchi.
Ungejua DC analingana na DED na wakuu wa Idara mshahara na marupurupu [emoji3]
 
ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Wamenusa harufu ya kutemwa hapo baadaye. Kuwateua ilikuwa janja ya serikali kuwatoa kwenye vyeo kule CWT ili serikali ipandikize watu wao watakaokuwa wanachota mapesa ya CWT bila kuhojiwa. Afadhali wameshtuka mapema na kukataa uteuzi. Nawapongeza sana.
 
ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Ni kweli kabisa yule Oluchi naye alipewa teuzi hivyo hivyo akagoma, aisee alipotea mazima wala hasikiki tena..
 
Mimi ningekuwa DC tu.

Kwanza marupurupu.

Ninaweza kukopa zaidi ya million 100 na kufanya miradi.

Ntaendeshwa na gari na kuwa bosi wa wilaya nzima.

Mwisho nitakuwa chawa wa mama hadi anarudishe Tena madarakani niendelee kula mema ya ya nchi.
Mil 100 unaikopaje kwa kazi ya kuteuliwa?
 
Hao waliogoma nawaonea huruma. Mama lazima awaonyeshe nini maana ya mamlaka ya teuzi.
Usimtie ubaya raisi. kukubali au kukataa uteuzi ni hiari, wapo wengi tu waliwahi kukataa huko nyuma na Wala haikua issue.

Raisi Samia hawezi kusema eti wafanyiziwe kisa tu wamekataa uteuzi. Haipo hivyo
 
Tusubiri
 
Back
Top Bottom