Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha Rushwa?Hivi wakuu wa wilaya hata kama wanalipwa 3M si wana mianya mingi ya kupiga pesa ? Au huko nako kumebana wadau ?
Sasa we cheo cha ukatibu unakiona cha kizembe tena kwenye taasisi kubwa hiyo ya chawa wa mama.Hiko chama cha walimu ndo kinalipa iyo Milion 7.8 ? Endeleeni kujidanganya na kuwasikiliza malisa na ole Mushi wanamsagai kunguni jamaa kwa unoko wao ...Ivi walimu walipwe chini ya milion then huyo mil 7. 8
Kitu kikubwa kinakuja mtakuja kuelewa tu achaneni na waropokaji malisa sijui Ole Mushi .
Haijahalalishwa mkuu hiyo ni sehemu ya utafutaji pia, nnachouliza ni kwamba hizo rushwa akichanganya si anakua na donge nono sana ?Unamaanisha Rushwa?
Hivi hii kitu imehalalishwa hapa Tanzania?
Tatizo huyo jamaa Kuna kitu anatafuta kwa sababu nilisikia tetesi kutoka majuu ivyo vikao na migogoro mingi chanzo ni yeye na wanataka kumtema iyo nafasi kweny chama labda anafanya wizi.Sasa we cheo cha ukatibu unakiona cha kizembe tena kwenye taasisi kubwa hiyo ya chawa wa mama.
Huyu ndio aliokwamisha vishkwambi visiwafikie walengwa niniTatizo huyo jamaa Kuna kitu anatafuta kwa sababu nilisikia tetesi kutoka majuu ivyo vikao na migogoro mingi chanzo ni yeye na wanataka kumtema iyo nafasi kweny chama labda anafanya wizi.
Sasa Raisi naona anataka abaki kweny system yeye anakataa ngoja tuone ataendelea vip kweny hiko chama .
Kwa bahati mbaya ufisadi unakubalika kwenye jamii yetu. Mwenye nafasi asipoiba tunamdharau.Unamaanisha Rushwa?
Hivi hii kitu imehalalishwa hapa Tanzania?
🤣🤣Walikuwa na kikao huko Tanga ana kesi nyomi muache ...Na izi mada za kusema anakunja mil 7.8 wakina ole Mushi kuweka publicly unafikria walimu kama wachangiaji wakiu na wanaishia kuvaa T-shirt oversize huoni watamzingua ... Michango yote wanatia kapuni.Huyu ndio aliokwamisha vishkwambi visiwafikie walengwa nini
Vishkwambi ni kama bunduki😂, usiende nacho bar, usiende nacho guest ,masharti kama wanayopewa polisi kwenye bunduki🤣Huyu ndio aliokwamisha vishkwambi visiwafikie walengwa nini
Vya kipuuzi hata wireless havikamatiVishkwambi ni kama bunduki😂, usiende nacho bar, usiende nacho guest ,masharti kama wanayopewa polisi kwenye bunduki🤣
Hivi ni kweli wamekataaILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Kwani ni lazima kukubali teuzi ?Hao waliogoma nawaonea huruma. Mama lazima awaonyeshe nini maana ya mamlaka ya teuzi.
Sio lazima ila ni "lazima"Kwani ni lazima kukubali teuzi ?
Tulishatoka kwenye utawala wa Kirundi, hao si wa kwanza, hata Jenerali Ulimwengu aliwahi kukataa kuteuliwa UDC Kigoma, inaonekana wewe ni mtoto wa juzi.Hao waliogoma nawaonea huruma. Mama lazima awaonyeshe nini maana ya mamlaka ya teuzi.