Alifukuzwa Tigo Yule mwambaMbona kuna mwamba alimkazia Magufuli akakataa ukuu wa wilaya na mpaka leo fureshi tu.
Mama ni muungwana, machawa kibao Ccm wanazitaka hizo nafasi, wacha wapewe wenye uhitaji wapo wengi sana.
Kuna tatizo kwenye vetting, huwezi kumteuwa mtu bila kupewa briefing kwamba anateuliwa, papo hapo mtu anakuwa na muda wa kukataa Kwa wanausalama wanaomfanyia vetting.
Hujui usemacho.Ukiwa mpigaji mzuri huo mshahara 3m ni WA kununua soda tu! Kumbuka wewe unaidhinisha kila kitu, mkurugenzi hawezi kula kabla wewe hujala. Ila tatizo ni kutumbuliwa wakati wowote.
Wala Rais hatahusika.Hao waliogoma nawaonea huruma. Mama lazima awaonyeshe nini maana ya mamlaka ya teuzi.
Wote hao huwa mishahara inakuwa matched unless awe ni TISSKila MTU ana Uhuru wa kuchagua lakini Uhuru huo haupo kama unavyotamkwa,kuna watu wanatolewaga huko UN,Bank ya dunia na baadhi kwenye international organization wakiwa na mishahara mikubwa na kuja kupewa majukumu ya mishahara midogo na inawalazima kufanya kwa kuwa ni presidential appointee sembuse U DC ndio ukatae??
Kama ana nia ya RC au mbunge KISHA aje awe waziri Ili aje apige zaidi ya hio 7.8.MAMBO yamekuwa MAMBO .Wewe ni MTUMISHI wa TAASISI fulani unalipwa MSHAHARA wa Tsh.Mil.7.8
UNATEULIWA kuwa DC ili Upate MSHAHARA wa Tshs Mil.3 na SHANGINGI
Je UTAKUBALI TEUZI au UTAKATAA?
Mianya ipi?Dc anamianya mingi asee na ni mwanzo mzur Katika harakat za kisiasa.
Chama chenu kimejaa udiktetaSio lazima ila ni "lazima"
It's more than that ndugu, Sir robby !!MAMBO yamekuwa MAMBO .Wewe ni MTUMISHI wa TAASISI fulani unalipwa MSHAHARA wa Tsh.Mil.7.8
UNATEULIWA kuwa DC ili Upate MSHAHARA wa Tshs Mil.3 na SHANGINGI
Je UTAKUBALI TEUZI au UTAKATAA?
Kwahiyo mwenzetu unaponda maisha hapo ulipoSasa kazi ya Udc haina guarantee ila narudia Tena ukiwa chawa wa ccm utakula maisha.
Inawatesa hata wezi wenyeweIla WaTz tuachane na hii dhana ya wizi, hujuma, rushwa na ubadhirifu katika nyadhifa za umma, inawatesa wanyonge.
Ukiona hivyo tambua teuzi inalipa.Kila MTU ana Uhuru wa kuchagua lakini Uhuru huo haupo kama unavyotamkwa,kuna watu wanatolewaga huko UN,Bank ya dunia na baadhi kwenye international organization wakiwa na mishahara mikubwa na kuja kupewa majukumu ya mishahara midogo na inawalazima kufanya kwa kuwa ni presidential appointee sembuse U DC ndio ukatae??
Nishasema huna unalolijua zaidi ya uwongo. Acha ujuaji hakuna kitu kama icho unachofikilia kwenye libongo lako mzee mzima ila hovyo kabisaILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!