Alifukuzwa Tigo Yule mwambaMbona kuna mwamba alimkazia Magufuli akakataa ukuu wa wilaya na mpaka leo fureshi tu.
Mama ni muungwana, machawa kibao Ccm wanazitaka hizo nafasi, wacha wapewe wenye uhitaji wapo wengi sana.
Kuna tatizo kwenye vetting, huwezi kumteuwa mtu bila kupewa briefing kwamba anateuliwa, papo hapo mtu anakuwa na muda wa kukataa Kwa wanausalama wanaomfanyia vetting.