Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Una ID ya jina la raisi alafu bado unamtia ubaya. Kwa hiyo ikitokea kesho huyo Leah ulaya kaanguka basi tuseme serikali inahusika? Wacha kuwa mjingaTusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ID ya jina la raisi alafu bado unamtia ubaya. Kwa hiyo ikitokea kesho huyo Leah ulaya kaanguka basi tuseme serikali inahusika? Wacha kuwa mjingaTusubiri
Kwahiyo tuseme JOKATE , NIKKI WA PILI WANALAMBA 3M PLUS ALLOWANCES DAH ASEEEE
Nitolee upuuzi hapa. Naona unavuka mipaka.Una ID ya jina la raisi alafu bado unamtia ubaya. Kwa hiyo ikitokea kesho huyo Leah ulaya kaanguka basi tuseme serikali inahusika? Wacha kuwa mjinga
Hivi yule Ally Maswanya aliyeukataa UDC wa jiwe, yuko wapi sasa? HahahaaILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Usimtie ubaya raisi. kukubali au kukataa uteuzi ni hiari, wapo wengi tu waliwahi kukataa huko nyuma na Wala haikua issue.
Raisi Samia hawezi kusema eti wafanyiziwe kisa tu wamekataa uteuzi. Haipo hivyo
Kitu gani hicho kikubwa kinakuja? Katiba mpya, sivyo?Hiko chama cha walimu ndo kinalipa iyo Milion 7.8 ? Endeleeni kujidanganya na kuwasikiliza malisa na ole Mushi wanamsagai kunguni jamaa kwa unoko wao ...Ivi walimu walipwe chini ya milion then huyo mil 7. 8
Kitu kikubwa kinakuja mtakuja kuelewa tu achaneni na waropokaji malisa sijui Ole Mushi .
Baba yako alipoteza bure pesa zake alizozipata kwenye VIBARUA kukusomesha "digrii", muhitimu wa shahada uko MTUPU kichwaniHao waliogoma nawaonea huruma. Mama lazima awaonyeshe nini maana ya mamlaka ya teuzi.
Ally Maswanya amepotelea wapi siku hizi?Kwani lazima wakuue? Alichaguliwa wilaya gani? Kabla alikuwa nani na baada ya kukataa alibaki kuwa nani?
Me mwenyewe nilitaka nikuulize wewe. Maana watu wancheza na amri.Ally Maswanya amepotelea wapi siku hizi?
Amri ndiyoKuteuliwa na Mh Rais ni Amri au inakuaje hapo .
Mipaka ya nyoko, wewe ni mpuuzi hivyo lazima nikuweke sawaNitolee upuuzi hapa. Naona unavuka mipaka.
Kuteuliwa na raisi si amri bali ni mapendekezo,ndio maana hata yeye akiona hutaki uteuzi anabadilisha ndani ya muda mfupi. Mfano ni uteuzi wa chegeni kuwa RCAmri ndiyo
Msando akikopa Ela milioni 100, akawapa wamachinga..sijui anahali Gani kwa sasaMil 100 unaikopaje kwa kazi ya kuteuliwa?
Tusiofuatilia mambo hebu tuelimishe, CWT ni ajira ya serikali?Muwe mnafatilia mambo, kwa serikalini kama ulikua unalipwa 500,000 ukapelekwa sehemu ya 300,000 utaendelea kulipwa 500,000
😂😂 he is unaware of the situation . To be honest CWT wanalipwa per dm . Kila kikao so kuwa DC ni a big loss by milesTusiofuatilia mambo hebu tuelimishe, CWT ni ajira ya serikali?
Unampa mtu offer akikubali ndio unamtangaza, sasa hapa naona mkuu wa nchi au watu wake hawakufuata protocol, wanatangaza tuu watu utafikiri watu hawana plan nyingine za maisha, lakini huyu mama anaonekana hana roho ya kipuuzi na mambo ya kishamba kuanza kufuatilia au kuwakomoa waliokataa hizo nafasi, naamini hakuna kibaya kitakachotokea kwa waliokataa hizo nafasiILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Zama za Giza zilishapita, Mungu alimaliza ugomvi Kwa umahiri.Unampa mtu offer akikubali ndio unamtangaza, sasa hapa naona mkuu wa nchi au watu wake hawakufuata protocol, wanatangaza tuu watu utafikiri watu hawana plan nyingine za maisha, lakini huyu mama anaonekana hana roho ya kipuuzi na mambo ya kishamba kuanza kufuatilia au kuwakomoa waliokataa hizo nafasi, naamini hakuna kibaya kitakachotokea kwa waliokataa hizo nafasi
cwt kuna marupurupu Zaid, maana hela ni nyingi Sana na utaratibu kukaguliwa mahesabu sio kama serikalini, Kuhusu mkopo Cwt viongozi hua wanajikopesha tena bila ribaMimi ningekuwa DC tu.
Kwanza marupurupu.
Ninaweza kukopa zaidi ya million 100 na kufanya miradi.
Ntaendeshwa na gari na kuwa bosi wa wilaya nzima.
Mwisho nitakuwa chawa wa mama hadi anarudishe Tena madarakani niendelee kula mema ya ya nchi.