Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Habari,
Kuna Project Ndogo ambayo inaweza kuhitaji PAs kama 10 hivi lakini ambao watakuwa wanafanya kazi Remotely. Kwa malipo ambayo yatakuwa calculated Hourly. Anaweza kufanya Mtu yeyote ME/KE ila ni lazima awe anajua kuongea na kuandika Kiingereza na Kiswahili. Lazima awe na ujuzi wa kutumia Computer na Lazima uwe mbunifu na mwenye kujiamini.
Majukumu yake ya Msingi yatakuwa ni Pamoja na:
Kupokea Simu na Kupiga Simu
Kuchapa barua
Kujibu Emails
Kuandaa Ripoti na Taarfa Mbalimbali
Kufanya utafiti mtandaoni
Kudraft barua
Kusoma machapisho mbalimbali na kuandika summary
Kuhudhuria vikao mbalimbali na kuchukua minutes
Kufanya Appointments
Kusimamia na kufuatilia Ratiba
Majukumu Mengine Kwa kadiri ya ujuzi wako na mahitaji ya Mteja
Kama Unaweza kufanya Kazi Remotely
Tafadhali tuma wasifu wako kwenda masokotz@yahoo.com
Deadline ni tarehe 30April 2021