Je unaweza kufanya madiliko kwenye application ya kazi baada ya deadline

Taitu2024

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2024
Posts
244
Reaction score
295
Naomba kuuliza eti nimefanya application ya police ajira sasa Kwa bahati mbaya siku ya Leo tar 27 nimecancel application then mfumo ukaniambia ni deadline je Ina madhara yoyote?
 
Subiri kama utakua shortlisted huku hamna mwenye majibu sahihi
 
Naomba kuuliza eti nimefanya application ya police ajira sasa Kwa bahati mbaya siku ya Leo tar 27 nimecancel application then mfumo ukaniambia ni deadline je Ina madhara yoyote?
ume cancel afu unauliza kama inamadhara yeyote..?🤔
 
Mimi mwenyewe nimeigusa hicho kipengele bahati mbaya ila nimerudi nimekuta application IPO pale pale
 
Back
Top Bottom