Je, unaweza kulala kwenye chumba pamoja na watu wawili wanaofanya mapenzi?

Nilijua tu hii ilikuwa ni Tanga,hiyo shule lazima ni pale Galaxy
 
daaah mwanangu kumbe ulipiga yule dem cku ile? ?
 
hahahahahaa hahahahahaha hahaha mkuu umetisha
Ni mimi mkuu tulikotoka nilipiga kama vi tatu gest sasa demu kwenda kwao ikawa shida usiku ikabidi nije nae geto nikapiga tena kimoja mbona niliona kila kitu nilikuacha tu.
 
hawajakuuliza tulikua tunafanyaje mkuu
 
Ungakafira hako kajamaa mgosi mbwai mbwai
 
Wakuu, hebu funguka hapa, Je una uwezo wa kustahimili kulala kwenye chumba kimoja na watu wawili wanaofanya mapenzi na ukapata usingizi kabisa?.
Je imeshawahi kukutokea??? View attachment 866615


Mara kadhaa na nilikuwa sipati stimu kwa sababu jamaa yangu alikuwa na bahati mbaya ya kutoka na wanawake wanaojichubua, vitambi, na wasioeleweka sura wala rangi rasmi ya mwili na ndiyo maana nilikuwa sipati msisimko wowote kwani mwanamke ajichubuaye ama mwenye kitambi wala simtongozi hata kumsalimu simsalimu sitaki urafiki nao.
 
daaah mwanangu kumbe ulipiga yule dem cku ile? ?
Hahahaaa mkuu ni kweli nilkula tatizo ulimuweka katikati hafu akawa amenigusa uvumilivu ukanishinda mi ningefanyaje mkuu unafikiri?
Kama ni wewe mkuu naomba unisamehe ila yule dada alikuwa mtamu na anajoto hatar
 
Funguka tupate utamu huo acha uvivu wa kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…